Itifaki imekaaje kumuuandikia rais barua ili atatue matatizo ya pahali ulipo

keki ya harusi

JF-Expert Member
Jul 23, 2017
271
430
Itifaki imekaaje kumuuandikia Rais barua ili atatue matatizo ya pahali ulipo
Kuna ndg yangu anataka kumuuandikia rais barua ili atatue matatizo ya pahali pake
 
Itategemea eneo/mahali alipo huyo mdau!!! Lakin hujatwambia rais yupi!
 
Maji, maji, maji, maji, sinza YAMEKUWA historia siku ya nne leo . Yake ikijibiwa na mimi ntaandika yangu kwakweli
 
0 Reactions
Reply
Back
Top Bottom