Itifaki imekaaje hapa

Kila mtu ameandika atakavyo...mara WAR..mara W3...mara ni utaratibu wa kawaida kwenye sherehe au ndoa za wanajeshi...
Ila hakuna aliweza ata kuleta hiyo kanuni au taratibu au kipengere kinachosema hivyo..
Walifanya kosa ambalo limezoeleka na kuwa kitu cha kawaida...
Ilo lipo wazi...ngoja nilete taratibu
 
Waambie waache umbea
 
Acheni ujinga. Siku mojamoja mnajipa mialiko kwenye harusi za wanajeshi. Hapo anaondolewa kwenda kuvaa nguo za kiraia kuendelea na sherehe. Ni kawaida mbona kwa harusi za wakristo za kijeshi.

Kwa safari larger siyo?

Pombe na mambo ya itifaki ya kiserikari ipo vipi?

Ndugu shida hapo ni pombe kutumika kumwagia hayo mavazi na hivyo vyeo walivyotunukiwa na Amiri Jeshi Mkuu Rais.

Kama watavalishwa hivyo vyeo kwa heshima na magwaride makubwa ya heshima. Na baadaye kuchezea namna hiyo haikubaliki kabisa.

Huwenda wengi wetu sisi tukawa washamba lakini werevu(wisdom) Inayotumika kumwagiana mapombe HAPANA.

Watafute utaratibu mwingine mzuri na wa heshima zaidi ya huo.
 
Ushaambiwa vyeo hapo ni Kofia na Bunduki hasaa... Hizo nguo kawaida tu mzee baba mbona unapanic?? Alafu huoni anamwagiwa kavua kofia au??? Na kumwagiwa hivyo kuna maana kijeshi sio wamekurupuka tu... Sio kila wawaze vita tu sometimes wanarelax kama hivyoo...
 
Pia wanafanya kazi kati "W" tatu:
1. War
2. Whisk
3. Women
 


Ni sawa kabisa. Mimi kwa kweli sikuwahi kuona wala kusikia kuhusu hiyo sigimenti (Kipengele) wakati wa kuacha ukapela.

Pombe nzuri wengi tunakunywa na tunafurahi na kuchangamka.

ILA pombe ni Ishara ya kukosa maadili.

Ndiyo maana tunaambiwa tunywe baada ya kazi.

Tunye tusizidishe kiasi.

Wanye wenye umri miaka 18+

Na Pombe huaribu akili ya mtu.


Sasa inatumikaje kwa watu muhimu namna hii katika nchi yetu?

Ndiyo maana nimeshauri kama utaratibu ni kutumia pombe tunawaomba wabadirishe kidogo ili iweze kuleta heshima zaidi.

Kwa mtazamo wangu (Kiroho) kwa kutumia picha hizo ni Ishara kwamba Jeshi letu zima ni walevi. (samahaninin jamani)
 
Hapo ulipotaja washamba (ignorant) umemaliza kila kitu. Itabidi uendelee na uerevu wako huku ukiwaacha wala nguruwe wakila nyama yao.
 
Hapo ulipotaja washamba (ignorant) umemaliza kila kitu. Itabidi uendelee na uerevu wako huku ukiwaacha wala nguruwe wakila nyama yao.

Wale nguruwe lakini wasitutie unajisi.
 
U know nothing
 
Pombe ni kiungo kikubwa sana kwa watu wote duniani,

Ibarikiwe sana ze lager
 
Jamaa kaharibu nchi hadi wazee wa gwanda wanamwagiana bia sasa
 
Wen gine sahv tunakunywa biere hatuimwagi.....
Kidumu pombe errrr

Ova
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…