Nafasi kidato cha 5: Itende high school

IPILIMO

JF-Expert Member
Oct 13, 2012
1,819
801
ITENDE HIGH SCHOOL -MBEYA

NAFASI ZA MASOMO KIDATO CHA TANO 2017.
Uongozi wa SHULE, Unatangaza nafasi za kujiunga na kidato cha tano 2017.

Shule ni bweni na kutwa kwa wavulana na wasichana.

TAHSUSI zilizopo ni EGM, HKL,HGK,HGL na HGE.

Mazingira mazuri na Tulivu kwa masomo na usalama wa mtoto wako.

Masomo yataanza rasmi 17/4/2017.

Fomu za kujiunga zinapatikana shuleni na ukitaka tunakutumia kwa Email utakayotupa: kwa gharama ya shilingi 10,000 tu kupitia Mpesa.

Ada yetu ni sh 1,200,000 kwa mwaka na hulipwa kwa awamu.

Shule ipo Mbeya mjini, nyuma ya kambi ya JKT Itende.
Shule ina fanya vema.

Matokeo ya kidato cha sita 2016 (daraja 1 mpaka la 3 tu).

Shule ina maabara na Maktaba nzuri.

Kwa malezi ya kiakili,kiroho na kimwili mlete mwanao Itende high school-Mbeya.
WAHI MAPEMA

0754734009
 
mnachukua wanafunzi wenye sifa gan
 
Sasa maabara yanafanya kaz gan kama hakuna (COMB) TAHASUSI za sayansi Mkuu mbona unatupa mashaka
 
Huwa zipo na nimeona shule moja ikiwa na maabara za Geography, na Agriculture mbali na zile zilizozoeleka za kemia, fizikia na biology.
Hizi hua ni maegesho tu, vifaa vikiharibika hawatengenezi tena. Believe me or not, no shule chache sana wanazingatia uwepo Wa maabara
 
Maabara ni kwa O-LEVEL jamani!!!

ITENDE HIGH SCHOOL ina O-level pia,mtoa mada alisahau kuspecify tu!mnamshambulia kama kapatikana na madawa ya kulevya!!!!

N:B-Fuatilia matokeo ya Advance kwa combinations zilizowekawa juu hapo kwa ITENDE SEC!
I assure, you are going to agree and confess that ITENDE HIGH SCHOOL is a better place for abundant achievements of your sons and daughters!
 
We unasema maabara ni kwa O.LEVEL but mtoa mada amesema nafas kidato cha 5 hajaongelea O.level
 
Back
Top Bottom