Itel s31 inafaa?

250k unanunua itel? Kweli wajinga hawaishi
Mkuu ungejaribu ku Google uone sifa ilizonazo kwa sifa hizo kama ingekuwa samsung tegemea bei ingekuwa juuu zaidi pia hiyo waliotoa wao inaweza kua chini ya hapo kwa mtu mwenye matumizi muhimu ya kila siku sio mbaya pia ni mfumo wa android Go.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…