Wazo la kabwela
JF-Expert Member
- Feb 13, 2013
- 1,894
- 1,485
Labda wataandaliwa na event ya kugawiwa ajira na fursa mwaka wa mwisho..Hii ni endapo kijana msomi wa vyuo vikuu vya Dar es salaam ukihudhuria consciously kwenye events iliyoandalia na RC pale Mlimani city parking eti kwa lengo la kupongezwa pia kupongeza serikali ya awamu ya tano ilihali asilimia kubwa wanafunzi hawana mikopo, hosteli hazitoshi na mengineo wakiyafumbia macho kama serikali. Ni aibu sana kijana Amka acheni kuishi kama wahenga kufuata upepo nchi haijengwi hivi.
Kweli kabisa mkuu ata sijajisumbua leo kwenda maana mamb ya msingi ni mengi zaid ukiwa loose bora usome zako tu.Hii ni endapo kijana msomi wa vyuo vikuu vya Dar es salaam ukihudhuria consciously kwenye events iliyoandalia na RC pale Mlimani city parking eti kwa lengo la kupongezwa pia kupongeza serikali ya awamu ya tano ilihali asilimia kubwa wanafunzi hawana mikopo, hosteli hazitoshi na mengineo wakiyafumbia macho kama serikali. Ni aibu sana kijana Amka acheni kuishi kama wahenga kufuata upepo nchi haijengwi hivi.
watu hawafati mikopo pale wala pongezi wanafata burudani usiwapangie kwaiyo wasipoenda ndio hosteli zitatosha?.Hii ni endapo kijana msomi wa vyuo vikuu vya Dar es salaam ukihudhuria consciously kwenye events iliyoandalia na RC pale Mlimani city parking eti kwa lengo la kupongezwa pia kupongeza serikali ya awamu ya tano ilihali asilimia kubwa wanafunzi hawana mikopo, hosteli hazitoshi na mengineo wakiyafumbia macho kama serikali. Ni aibu sana kijana Amka acheni kuishi kama wahenga kufuata upepo nchi haijengwi hivi.