Itapigwa D9 - D17 mwambie na mwenzako

Itapigwa D9 - D17 mwambie na mwenzako

Yatakuwa maandamano ya mfululizo. Mayii! Nye Nye Nye. D9 ndio kipyenga. Twaenda mpaka D17. Walahi sijui miye. Nyote mwajua nini mfanye Siku hizo. Twasoma vidoleni hao. Hehee. Na bado
D9 afile munu asigale munu show show ,usitoke kizembe jikoki ,ukishindwa kuwa na AK47 za magendo basi hamna hamna GOBOLE ,fita ni fita muraaa!!
 
Yatakuwa maandamano ya mfululizo. Mayii! Nye Nye Nye. D9 ndio kipyenga. Twaenda mpaka D17. Walahi sijui miye. Nyote mwajua nini mfanye Siku hizo. Twasoma vidoleni hao. Hehee. Na bado

Nani awape nafasi ya kufanya zile fujo na wizi tena nyinyi kenge...hamtapata hata space ya kupiga hatua hiyo siku...naona safari hii hashtagg ya kusema jeshi linawapa support imepotea..teh teh
 
This time mtapiga nyie yowe wait and see nyie endeleeeni ku BJ hao watawala wenu tarehe 9 mtapata joto ya jiwe nyie na huyo kimama chenu mtuachie Tanganyika yetu
FVck her and you Vive la révolution
Kilichowakuta wale wahuni wenzako waliochoma nchi hii na wewe utapata mara dufu yao,fanya hima uje..umwagwe mavi hiyo...
 
Eti wanatishia?wana mtisha nani sasa

Nchi hii iache kwenda eti kwa vitisho vya ma.fala kama hao,wajipange waje
Kabisa mkuu Yani mm nishindwe kufanya kazi zangu za kujiingizia kipato kwa kumuogopa kibaka/panyaroad ambaye anazuilika, kama tumewamaliza wezi kariakoo kwanin watushindwe Hawa panya road .
OLE WAO
 
Back
Top Bottom