Heaven Sent
Platinum Member
- Sep 27, 2013
- 32,719
- 98,386
Usichoke kuwaonyesha wale unaowajali kuwa ni kiasi gani unawaheshimu na kuwathamini. Wala isifike hatua ukawa na mtu afu unaogopa kumuonyesha kuwa unamthamini eti kisa atatake advantage ya upendo wako. Kama unampenda na kumjali muoneshe tu, utaamka siku moja huyo mtu hayupo afu hutopata chance tena ya kumuonesha huo upendo wakoalways kila nisomapo comment Yako Huwa napata nguvu ya kuona kila kilichonitokea ni mipango ya Mungu... Daima nilikuwa nikijaribu kujishusha na Kuonyesha thamani ninayompa lakini nilionekana mjinga na bingwa wa kuomba misamaha.. Lakini now ndio ananitafuta na kuiona thamani yangu
huoni kuwa utakuwa hujafanya Kitu sahihi?
Eeh hapo balaa sasaMmh. Kwa kiswahili
Well said Kaka.Kuna vitu vimejaa maswali mengi na unaweza hisi kama vile unahitaji maarifa zaidi juu yake,,nikiliona bandiko lako hapo juu linanipa kuona siko mwenyewe,ili kizuri watu wengi wanaongeza maarifa.
Usichoke kuwaonyesha wale unaowajali kuwa ni kiasi gani unawaheshimu na kuwathamini. Wala isifike hatua ukawa na mtu afu unaogopa kumuonyesha kuwa unamthamini eti kisa atatake advantage ya upendo wako. Kama unampenda na kumjali muoneshe tu, utaamka siku moja huyo mtu hayupo afu hutopata chance tena ya kumuonesha huo upendo wako
Ukiona hawakuthamini, just walk away. . Huwezi kumforce mtu akuthamini. Ipo siku utampata atakayeona thamani yako. Ndicho kitu nilichojifunza so far

Hawakutendi kwa sababu "unaonyesha kuwa unawapenda sana", ni ujinga wao tu ndo maana wanakuja kujua thamani yako hapo baadaye. Huna kosa, na hicho ndicho exactly moyo wako unachokitaka kwa wakati huo, just do it anyway.daima niko hivyo na ubaya wangu huwa nikipenda naonyesha kila kitu nadhani ndio maana wananitenda
ahsante mkuu, Huo ndio uhalisia wa tunayokutana nayo katika mahusiano. Unaweza kusimama na kuonyesha kila Aina ya Mapenzi na kuthamini lakini kinachokuja kutokea unaweza kujuta na Kujilaumu kwa kuonyesha kujali na kumpa mtu thamani katika maisha yako
daima niko hivyo na ubaya wangu huwa nikipenda naonyesha kila kitu nadhani ndio maana wananitenda
ahsante mkuu, Huo ndio uhalisia wa tunayokutana nayo katika mahusiano. Unaweza kusimama na kuonyesha kila Aina ya Mapenzi na kuthamini lakini kinachokuja kutokea unaweza kujuta na Kujilaumu kwa kuonyesha kujali na kumpa mtu thamani katika maisha yako
ibra87 LOVE haina genius wala expert wala shukurani!!
kati ya vitu vya ajabu duniani ni mapenzi na maswali yake hayana majibu suluhishi!!
Never control love, yaache yajiendeshe!
Ukipenda, ukijali, ukithamini sanaaaa tegemea MAUMIVU mbele yako!!!
Mpendwa hatuinvest kwenye mapenzi but tunafanya vile moyo unachotaka. But ikifika hatua mtu haappreciate unachokifanya na wala hana hata habari na wewe basi jiondokee tu. Sio kwamba upo weak but upo strong sana kiasi cha kuruhusu moyo wako uwe na amani.Nimependa Heaven Sent anavyosema USICHOKE kuwaonyesha wale unaowajali namna unavyowathamini hata kama huoni responce uliotarajia maana uko wakati atatokea anaeona thamani ya kujali kwako,,kama kuwekeza..IKO SIKU atatokea.
Nimependa Heaven Sent anavyosema USICHOKE kuwaonyesha wale unaowajali namna unavyowathamini hata kama huoni responce uliotarajia maana uko wakati atatokea anaeona thamani ya kujali kwako,,kama kuwekeza..IKO SIKU atatokea.
Pia angalia kujifunza kwa makosa,,kile alichokifanya kikakuumiza wewe ulichangia asilimia ngapi mpaka akakifanya ni wapi alitake adv? Ni kitu gani ungekiacha au kukipunguza asingekuumiza? Lakini bado naamini mwenye kuthamini namna ulivyo IPO Siku atatokea.