Itambue thamani ya uliyenae

"Sometimes we don't lose people..,some people lose us

Asante nimeelewa vzur sana dada
 
Haya mambo yasikie kwa wengine lakini yakikukuta ni majanga
ni kweli mkuu... Wakati mwingine huwa tunahitaji kufutwa machozi Kwa Yale tuliopitia lakini hakuna. Wa kutufuta. Wote wamekuwa kama wale wasiokuwa na Huruma.

Hawauthamini Moyo wako
hawathamini chozi lako
hawaioni thamani yako na
mwisho hawayaoni mapenzi yako.
Wamekuwa kama Vipofu, vipofu ambao hawaoni kile kinachofanyika.

Wamekuwa watu wa kulia pale unapoondoka katika maisha yake. Hapo ataitambua
thamani yako
mapenzi yako
hisia zako na kujua kumbe ulikuwa na thamani kubwa kwako.

Usimsubiri mpaka aondoke ndipo umpe thamani yake.

Unapendwa na mtu muonyeshae kuwa unampenda, kumjali na kumthamini
 
mkishaachana, yani mmeshapigana kibuti baaaaaadaeeeeee......!!!!!! ndo unaanza ooh!!! dah!!! aiseee!!! kumbe huyu demu alikuwa mtu mhimu sana kwangu. kipindi uko nae ulikuwa unamuona fala furani ukishikwa shikana kabisa weka na gundi au super glue ili msitenganishe na chochote
 
nimeanza kukupenda dada Dotto kama huna mtu fanya kunipm mpenzi
 
kwahiyo mnapokuwa katika mahusiano mnatakiwa msijenge mazoea?
Amemaanisha mazoea yenu yawe katika mahusiano ya mapenzi msiingize tabia zako unazofanya kwenu au unapokuwa na wenzako kwa mtu wako unaempenda.Mfano:?
 
Haaahahaha house girl atoto teh katika pita pita zangu nilipita na hapa
nilijua ndio tunapotezeana kumbe bado? Kama hiki unachukulia kwa umakini wa hali ya juu basi hiyo miaka mitano ya kusoma kwako haikukusaidia kuelewa wala kutambua kipi sahihi na kwa wakati upi na kipi si makini na kwa wakati gani. Nakupenda brenda hakika upo ndani ya Moyo wangu. Jaribu kupunguza panic yako itaharibu hekima yako dada angu
 
Amemaanisha mazoea yenu yawe katika mahusiano ya mapenzi msiingize tabia zako unazofanya kwenu au unapokuwa na wenzako kwa mtu wako unaempenda.Mfano:?
mapenzi hayana kanuni maalum kwa kuwa kila mmoja ana kile anachokihitaji kwa mwenzake. Inapotokea hutaki mpenzi Wako Akuzoee hapo kutakuwa na umuhimu gani wa kuwa wapenzi?

Daima hisia huja na dalili zake... Hisia huletwa na muonekano wa umpendae. Wakati mwingine unaweza kumpenda mtu kwasababu ya Mazoea.. Kwahiyo ni Vigumu Kuyaondoa Mazoea katika mahusiano kwa kuwa italeta hali flani ya kuogopana kitendo ambacho hakitakuwa kizuri katika mahusiano yenu
 
Well said @heavensent
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…