Nichumu Nibebike
JF-Expert Member
- Aug 28, 2016
- 8,658
- 15,813
Sijui umekula maharagwe ya wapi wewe! 🙁🙁🙁
Huwezi amini; mimi sio mtabiri wala mganga wa kienyeji, natumia dalili zinaoonekana wazi kwa werevu wa mambo. muda mchache kabla ya mwaka 2020, ambao ni mwaka wa kinyang'anyiro cha uchaguzi itatokea kuhama kwa vigogo wakubwa wa siasa nchini na kuhamia chama tawala CCM, kama si kuhama basi lile kundi lillilohama...likiongozwa na mkubwa wao litarudi kundini mara baada ya mazungumzo ya muda mrefu na makubaliano baina ya marafiki wawili. Upande wa upinzani utakua na siasa za mtu mmoja mmoja, hawatafanya kazi kama timu tena, watavurugana na kila mtu atakwenda kutetea nafasi ya ubunge, hawatakua na presidential material, waliomuandaa atakua amewatupa mkono. Jamaa yule atarudishwa kuokoa jahazi upande wa pili kwa kuwa kinachoendelea kwenye nyumba yetu hatukukitarajia, tunapiga hatua za haraka RETROkurejea.... hapo kutatokea tafrani kamati kuu ya chama baada ya jamaa yule kutaka amalizie na jamaa yule aliyerejea kundini au aliyerejeshwa kutaka kuingia akasawazishe palipoharibika, hapa itakuwa balaa kubwa ila kwakua mtandao ni imara na wanakamati watakua wameisoma namba sana watafanya kila juhudi safari ya jamaa aliyeko mzigoni isite. FORGET ABOUT OPPOSITION TO LEAD THIS COUNTRY, EVEN 100 YRS I DON SEE IT....... TOROKA URUDI
acha kutafuna bhange weweNii hii bangi niliyovuta au sijakuelewa ?
Mimi sitafuni mkuu navuta tu vipi nikuachie cha ukucha ? Ila nayovuta haina kushabu babaetuacha kutafuna bhange wewe
Na mi ntaka cha ukuchaMimi sitafuni mkuu navuta tu vipi nikuachie cha ukucha ? Ila nayovuta haina kushabu babaetu
OBJECTIVE hapa sio kwamba kuna upinzani mkubwa ndio maana watafanya muafaka na waliohama no ila watafanya hivyo kwa kuwa wanasomeshwa namba.......INAWAUMAKati ya vitu CCM haiogopi ni hivyo ulivyosema. Kwa vyovyote wana uhakika wa kutangazwa washindi hata kama wakisimamisha jiwe kama mgombea wao. Hawana sababu ya kufanya mazungumzo ya muafaka na waliohama. Kwa ujumla wana uhakika kuwa JPM ataachia mwingine 2025 na si kabla ya hapo. Wanalala usingizi bila kujali kinachoendelea katika vyama vya upinzani! Jahazi lao liko salama na hakuna eti mtu ahamie ili kuokoa! Kitu hicho hakuna!!!!
Wewe siyo Lusekelo wewe?Huwezi amini; mimi sio mtabiri wala mganga wa kienyeji, natumia dalili zinaoonekana wazi kwa werevu wa mambo. muda mchache kabla ya mwaka 2020, ambao ni mwaka wa kinyang'anyiro cha uchaguzi itatokea kuhama kwa vigogo wakubwa wa siasa nchini na kuhamia chama tawala CCM, kama si kuhama basi lile kundi lillilohama...likiongozwa na mkubwa wao litarudi kundini mara baada ya mazungumzo ya muda mrefu na makubaliano baina ya marafiki wawili. Upande wa upinzani utakua na siasa za mtu mmoja mmoja, hawatafanya kazi kama timu tena, watavurugana na kila mtu atakwenda kutetea nafasi ya ubunge, hawatakua na presidential material, waliomuandaa atakua amewatupa mkono. Jamaa yule atarudishwa kuokoa jahazi upande wa pili kwa kuwa kinachoendelea kwenye nyumba yetu hatukukitarajia, tunapiga hatua za haraka RETROkurejea.... hapo kutatokea tafrani kamati kuu ya chama baada ya jamaa yule kutaka amalizie na jamaa yule aliyerejea kundini au aliyerejeshwa kutaka kuingia akasawazishe palipoharibika, hapa itakuwa balaa kubwa ila kwakua mtandao ni imara na wanakamati watakua wameisoma namba sana watafanya kila juhudi safari ya jamaa aliyeko mzigoni isite. FORGET ABOUT OPPOSITION TO LEAD THIS COUNTRY, EVEN 100 YRS I DON SEE IT....... TOROKA URUDI
Kile alichopewa atumie kukalia yeye anakitumia kufikiria.. Anafanya kufuru..Sidhani kama kichwa ulichopewa na MWENYEZI MUNGU unakitumia kufikiria
Kwa nini unakebehi watu wa Mungu? Au una ham na kitimoto?Wewe siyo Lusekelo wewe?
PorojoHuwezi amini; mimi sio mtabiri wala mganga wa kienyeji, natumia dalili zinaoonekana wazi kwa werevu wa mambo. muda mchache kabla ya mwaka 2020, ambao ni mwaka wa kinyang'anyiro cha uchaguzi itatokea kuhama kwa vigogo wakubwa wa siasa nchini na kuhamia chama tawala CCM, kama si kuhama basi lile kundi lillilohama...likiongozwa na mkubwa wao litarudi kundini mara baada ya mazungumzo ya muda mrefu na makubaliano baina ya marafiki wawili. Upande wa upinzani utakua na siasa za mtu mmoja mmoja, hawatafanya kazi kama timu tena, watavurugana na kila mtu atakwenda kutetea nafasi ya ubunge, hawatakua na presidential material, waliomuandaa atakua amewatupa mkono. Jamaa yule atarudishwa kuokoa jahazi upande wa pili kwa kuwa kinachoendelea kwenye nyumba yetu hatukukitarajia, tunapiga hatua za haraka RETROkurejea.... hapo kutatokea tafrani kamati kuu ya chama baada ya jamaa yule kutaka amalizie na jamaa yule aliyerejea kundini au aliyerejeshwa kutaka kuingia akasawazishe palipoharibika, hapa itakuwa balaa kubwa ila kwakua mtandao ni imara na wanakamati watakua wameisoma namba sana watafanya kila juhudi safari ya jamaa aliyeko mzigoni isite. FORGET ABOUT OPPOSITION TO LEAD THIS COUNTRY, EVEN 100 YRS I DON SEE IT....... TOROKA URUDI
Hebu fafanuaKila kitu kipo kwenye mikono salama ...Siasa za Tanzania ni copy and paste ya siasa za Russia ...."system at work"
Nashukuru ila nadhani namba ushaisoma mkuu. Haya maporojo yetu ndio madini usidharau usichokijua, hatufanani.Porojo