jogi humu tunatumia ID bandia ambazo baadhi yake zinaficha uhalisia mwingi tuuUmempa sifa nyingi ambazo hana.
Ni mwoga kupindukia.
Anaweza kuyumbishwa na mwanamke (japo hili wengi linawahusu)
Ana shingo ngumu (wasomaji wa biblia watanielewa)
Hajawahi kusoma maneno haya yafuatayo:-
A friend in need is a friend indeed
Alitukimbiaaaaaaaaa
Na akifa azikwe huko huko.
Umempa sifa nyingi ambazo hana.
Ni mwoga kupindukia.
Anaweza kuyumbishwa na mwanamke (japo hili wengi linawahusu)
Ana shingo ngumu (wasomaji wa biblia watanielewa)
Hajawahi kusoma maneno haya yafuatayo:-
A friend in need is a friend indeed
Alitukimbiaaaaaaaaa
Na akifa azikwe huko huko.
Duuuhh kazi kweli kweli.
Katika "tasnia" ya mapenzi hakuna mwanaume SHUJAA. Rejea kisa mkasa cha Samson, Mfalme Daudi na yule mke wa mtu, lakini mwisho ni yule Binadamu mwenye hekima nyingi Mfalme Selemani aliekiuka maagizo ya "yeye alie juu" kwa kuoa wanawake wanaoabudu "miungu".
jogi humu tunatumia ID bandia ambazo baadhi yake zinaficha uhalisia mwingi tuu
Kila mtu naturally hakosi wapenzi washabiki nk! Ni haki ya kiasili mno lakini unapoona post za namna hii fahamu kuwa kuna la ziada(kumbuka zile picha la last week)

Ni kweli bado anahitajika sana! Lakini swali muhimu la kujiuliza ni kwamba je anahitajika na nani?Mshana Jr, "tayari umeshapiga ramli?"
Hakuna la ziada zaidi ya kumwomba Mzee wetu arudi tuijenge Tanzania yetu. Tungali tunamuhitaji.
Agenda implimentationNi kweli bado anahitajika sana! Lakini swali muhimu la kujiuliza ni kwamba je anahitajika na nani?
Kwakuwa yeye ni mtu mzima ana utashi wa kuamua kurudi bila hata kuombwa kufanya hivyo!
Mzee kapata bahati ya kuwa raia wa ulaya halafu wewe unamwambia arudi hapa aje ashushwe aishi kama Shetani, atakubali, hata ningekuwa mimi nisingekubali
Duuuhh kazi kweli kweli.
Katika "tasnia" ya mapenzi hakuna mwanaume SHUJAA. Rejea kisa mkasa cha Samson, Mfalme Daudi na yule mke wa mtu, lakini mwisho ni yule Binadamu mwenye hekima nyingi Mfalme Selemani aliekiuka maagizo ya "yeye alie juu" kwa kuoa wanawake wanaoabudu "miungu".
Ni kweli bado anahitajika sana! Lakini swali muhimu la kujiuliza ni kwamba je anahitajika na nani?
Kwakuwa yeye ni mtu mzima ana utashi wa kuamua kurudi bila hata kuombwa kufanya hivyo!
Kwani amefariki mkuu?Mwacheni huyu mzee apumzike kwa amani.
Nadhani kila kitu na kila jambo lina wakati wake! Muda sahihi ukifika hufanyika na muda sahihi ukipita hakuna haja ya kulazimisha. ..kama muda uliokubalika ni sasa kwenye jambo fulani utumie vema ili usije ukabaki na majutoTanzania na jamii kwa ujumla. Ndio maana nimesihi atafute jukwaa ambalo ataona ni muafaka ili awatumikie watanzania.
yuko jukwaa la CCM anaitumikia kwa dau kubwa.Tanzania na jamii kwa ujumla. Ndio maana nimesihi atafute jukwaa ambalo ataona ni muafaka ili awatumikie watanzania.
Amepumzika huko CanadaKwani amefariki mkuu?