Itakucost ukifanya na usipofanya

Wasiwasi wangu sijui kama umesoma bandiko vizuri na kulielewa,

Uliposema kapigia chapuo bitcoin nikakumbuka maneno ya trump nikajisemea moyoni kweli huku kwetu ni shithole

Mtu yeyote anaisema forex vibaya na kuiponda namuona kabisa anaishi miaka 50 iliyopita

Sisemi ujiunge hapana ila kile kitendo cha kufahamu tu kwamba je hii biashara ni halali na ipo kweli sio utapeli ni hatua moja kubwa sana kimaisha

Anyway kwa sababu hujataka kujishughulisha basi endelea hivyohivyo
Povu la Majani ya Mpapai................Kwani nikisema Unapigia Chapuo Bitcoins ni Kosa.........??? Mtoa Mada amemaanisha vivyo,Hii ni Fasihi Andishi kuwa makini.............!!!!! Hayo ya Trump aliwamaanisha watu kama ninyi musiyeweza Fasiri Fasihi vizuri..................!!!

Forex ni Biashara ya Kitapeli tu kama DECI ndiyo Maana kila siku watu wanachoma Acc zao...................!!!!

Kwa Taarifa yako kuwepo kwa Biashara za KITAPELI siyokwamba hiyo Biashara ni HALALI ndiyo maana hata huko TZ bado kuna sehemu bado zipo KARATA TATU...................!!!!

BITCOINS ni Biashara Mzuri na waTZ wangejua ingewasaidia kuliko FOREX
 
Baaasi mkuu nisamehe mwanzo nilikutuhumu kimakosa,

Ila sasa nimethibitisha uwezo wa akili zako na nmejiridhisha siwezi kuendelea kuzungumza na mwanaume anayeambiwa ukweli akakimbilia kusema ni povu
Trump alikuwa sahihi halafu watu kama ninyi ndo wa kwanza kuropoka amekosea

Sitakujibu tena kaa na ujinga wako
 
Hapa kwenye hili Jukwaa linatukutanisha watu wengi.....................Tatizo linakuja Pale unapokutana na MJUKUU asiyeambilika kwa kukosa Malezi bora....................ni shida karibu SK
 
Back
Top Bottom