Itabidi tukubaliane kila mwanaume ana kazi hizi mbili

Singida ndio home

JF-Expert Member
Feb 23, 2012
3,192
3,353
kama we ni mwanaume bac kaz ya kwaoza unazofanya ni ya jembe hizi kazi ni kama kulima kusoma kupigana n.k ili mrad utoe jasho ya pili ni ile ya mfikicho inayomfanya mwanaume apate raha wewe je unafikiri unaweza kutoa maoni gani juu ya hizi kaz
 
Nilikuwa sijakuelewa lakini niporudia kusoma nimekupata uko sawa kabisa
 
Nivigumu kuandika kitu mwenyewe ukashindwa kukielewa mwenyewe!
 
Kaka ulichopaswa kusema ni kwamba wajibu wa mwanaume akiwa duniani ni kupata mkate kupitia jasho lake na kuhakikisha kuwa unawajibika vema kwenye mapenzi.
 
..."mfikicho"...

..aisee. Nimekumbuka kifikicho kinacho fikicha ndizi ili kupata mtori..

Ama kweli ni kazi ya kiume hiyo....!!!!!
 
Hivi kweli mods hawawezi kuanzisha kajukwaa ndani ya MMU katakachowa-accomodate vijana wadogo!?JUKWAA LINAVAMIWA na nyuzi zisizofikirisha kabisa.
 
Tuko wengi na ni memba,bila kuposti uzi inakuwa hainogi. Tuchukulieni poa tu.
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom