Itabidi na wazee Wetu tuwawekee dstv!

tokomea

Senior Member
Nov 25, 2015
193
87
Nipo kwa Mzee wangu hapa anasema Leo siku ya 4 continental decoder wamekata matangazo ,nimejaribu kupiga hiyo namba Yao ya customer care ipo busy na inapopatikana haipokelewi ,sasa najiuliza kama walikuwa hawako tayar kwa ushindan si wange subir kwanza!!
ImageUploadedByJamiiForums1457279428.492665.jpg
 

Similar Discussions

Back
Top Bottom