It was very RISKY lakini ilipendeza SANA,can u do?????

It was very RISKY lakini ilipendeza SANA,can u do?????

Mshinga

JF-Expert Member
Joined
Feb 5, 2013
Posts
3,532
Reaction score
1,130
Jamaa mmoja alinunua kiwanja maeneo ya karibu hapa nilipo,alikaa miaka kadhaa baadae mwaka 2009 alianza kujenga nyumba yake na mpaka mwaka 2011 nyumba ikawa imefika kwenye LINTEL(lenta).
KUMBE YULE JAMAA ALINUNUA KIWANJA KWA SIRI NA AKAANZA KUJENGA NYUMBA KWA SIRI NA MKE WAKE HAKUWAHI KUJUA LOLOTE.
a day for suprise to his wife came.
Jamaa alimchukua mke wake na watoto akawapandisha kwa gari yake na kuwadanganya wanaenda kutembea.
JIMUU-JIMUU-JIMUU mpaka kwenye nyumba akawashusha.
AKAMWELEZA MKE WAKE KUWA HIYO NYUMBA NI SUPRISE KWAKE na alinunua kiwanja yapata miaka kumi iliyopita kwa wakati ule.
IT WAS PARAMOUNT UNBELIEVABLE TO THE WHOLE FAMILY.
mke alibaki hajielewi kama anaota vile na hakuyaamini kirahisi maneno ya mume wake.
NA SASA NYUMBA IPO HATUA ZA MWISHO MWISHO WAWEZE KUHAMIA.
a big and very good house.
how a splendid suprise!!
 
mh...kama anaweza kuficha sth tht huge for 10yrs,mengine je?anywy,watu wako tofauti i ges...😱hwell:
 
angemaliza kabisa, aweke na thamani za ndani zote ndo afanye hyo kitu.
 
angemaliza kabisa, aweke na thamani za ndani zote ndo afanye hyo kitu.

Yataka moyo,pia ingekuwa ngumu sana kueleza kuwa alijenga yeye kuliko alivyofanya mana mke aliona nyumba inamaliziwa
 
we si jiwe!utawazaje kufa?

^^
Umeelewa tofauti na kusudio langu..anyway mie binadamu nina hofu sawa na viumbe wengine.
Imekuwa tabia ya wanawake kutaka kujua kila kitu ikibidi vitisho vya kufa..kifo hakichagui mtu..ni yeyote hata awe mke
^^
 
Back
Top Bottom