It was my day

Kwa nini ulituficha?
Happy Birthday iliyochelewa, next year nitakywa nakumbuka
 
^^
Heko Mamndenyi
Nakuombea kila heri
Ule chumvi nyingi
Ujawe amani moyoni
^^
 
Last edited by a moderator:
mwenzio nilijua utaniwekea hata uzi,
kumbe umekauka, but najua ni wivu tu
asante mwaya.
Kwa nini ulituficha?
Happy Birthday iliyochelewa, next year nitakywa nakumbuka
 
Salaam wana wote,
Ilikuwa siku yangu 15/6 (official birthday), ni miaka mingi imepita toka nione jua.
Hata hivyo namshukuru Mungu kwa kuwa nipo salama na nina furaha.

heri ya siku ya kuzaliwa dada mkubwa..
 

Similar Discussions

Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…