mtazamaji, naomba nieke leader hapo juu. I hate to quit. hata kama nitakua peke yangu, spidi ya kobe. Lakini hii project itaisha.. so please nirudishe kwenye team.
Heheheheh kaka si niliwaambia mimi? hili jambo mnalifanya kubwaaaaa kama mnataka kuunda ndege au kununua kisiwa kizima wakati kitu kidogoooo lakini hamkuniskia, haya mambo nina uzoefu nayo sana na ndio maana nikawapa ushauri lakini mkanifanya mjinga. mambo kibaaooo mara hili mara lile mara kuandaa documents mara semina. kaka niliwaambia hii kitu bora ipande hewani hayo maswala mengine baadae kisha mkabisha eti mnataka kila siku mawazo mapya haya mnaona sasa mnatka kuifunga hii ishu. anyway mi yangu macho.
Hivi ndugu zangu mnatumia akili kweli ama mnafanya tuu haya mambo bila ya kufikiria kwa kina?? sidhani kama unaweza kutoa idea ya kitu kikubwa kama hicho kisha ukaumiza watu vichwa kisha huna hata pesa za kuhost. na pia ukaihost kwenye hosting za free pia hata domain ikakushinda kununua. jamani nawashauri kwanza mkae tena chini team nzima kisha muchange pesa na mkiibua kitu kiwe cha uhakika na cha maana wewe unadhani ukifanya km hivi mlivyofanya mashirika ama kampuni gani itawaunga mkono? je mtumiaji gani ataitumia?? fanyeni kitu kitaalamu na pia mkitaka msaada nitawapa na si kufanya kitu kiutoto kama hivi eti mnahost kwenye free severs. what is this?? pia angalieni sana kwenye graphics naona bado kabisa pia km mnataka msaada niambieni. napenda kuwaona watu wanafanya kitu kwenye mambo ya I.T lakini si km hivi mlivyofanya. mkiamua kitu inabidi mjitolee kihali na mali si kuchangia kwa maneno tuu. ww unadhani hii JF wangehost kwenye free severs na free domain nani angeingia??? jiulize? jipangeni upyaaaaaa mabrother
Lakini hii ni open project, kila mtu yupo huru kuiendeleza, Redsilversilverdog ungepaswa ile project kuiendeleza hapa hapa...!
Lakini kama utaona kuwa kuendeleza uko kwenye sredi nyingine kutaipa nguvu hiyo project ni sawa nasi tupo pamoja tutakuunga mkono.
Mtazamaji kwa sababu umeshindwa na hii project na ulikua na lengo zuri na nguvu za kuifanya hii ila watu walikua wanakuchanganya sana na wakaharibu akili yako mpk ukaifunga hii. nakuahidi nitaiunda hii project kisha nitakupa uiendeleze na nitaiweka hewani uione. napenda watu kama nyinyi wenye mwamko kwenye I.T
Haaaaaa Givenality
In this project we achieved some milestone but we never achieved our goal.
nimeipata kiasi ur ideal, kwa jinsi nilivyoelewa mimi ni hivi, mnataka kutengeneza team ambayo itachangia mawazo ya kuweza kucreate iyo database ambayo umeitolea muongozo c o? kwa bahati nzuri na mimi ningependa nijumuike pamoja na nyie ili niweze kutoa kamchango kangu hapo,..am i.t tech by professional, hii imekaaje mdau wangu?