Je kaka una demo yoyote ya hii subipro ili tuone inafanya kazi vp?
Zaidi ya test envroment ya project yetu kila mjumbe anaweza kuwa na test enviriment yake online. Hii itasaidia kuonyesha. Soakitest kitu akaona kinafaa anawaonyesha wenzake kwa kuwapa link. Sababu uifanya local wengine hawaoni.
Na uzuri zipofreee tetsing envirment. Hakuna shida.
Nimeendelea kutest sobipro mnaweza icheki hapa Home Then kwenye menu ya This site chagua wanani au nenda moja kwa moja wanani
So naendeleea kupendeza installation ya stable Joomla 1.6 ifanyike
Mkuu ili wazo lako la kila mtu kuwa na test inviroment yake online ni wazo zuri sana nami naliunga mkono...!
Niliwai kutumia Joomla kabla, zipo complicated kidogo, ila tukijitahidi tunaweza kufanikiwa...!
Zile ulizopandisha si mbaya lakini naomba fanya kitu kamili ili tuone itakuwaje.
Kwani wewe ukifanya kabla yetu na sisi tukaona kuna ubaya gani... Kwa nini unasubiri mpaka wengine wafanye au ujiamini!?Ni kweli ila wacha nione zenu kwanza kidogo kisha mimi nitoe yangu ambayo wote mtashika vichwa maana km mnavyonijua hua sibahatishi ila kwanza nataka nione taswira yake kidogo ili nizidi kupata ideas
Kwa kweli kaka si mbaya na si nzuri hii sobipro mana kitu ambacho i hate ni kuona neno hili Powered by Sigsiu.NET jaribu kutafuta ama kuangalia uwezekano wa kufuta hilo neno
Wewe si umeshasoma tangia mwanzo nini tunafanya, na demo umeziona na umetoa kasoro zake na wewe ukaweka hapa picture ya mfano au umesahamu mkuu, kwa hiyo wewe weka tu kile ambacho wewe unafikiria.heheheh kaka unajua hivyo vidogo pia vinaumuhimu hasa kwenye joomla maana kuna module zengine huwezi kuzibadilisha powered by so bora ujue mapema usije kuumiza akili yako thn mwisho ukashindwa kutoa hilo neno maana likiwepo ni noma kweli kweli. kuhusu kuawaangalia nyie coz nataka kujua kitu gani hasa kwanza mnataka maana mawazo yangu na yenu yanaweza yakawa diff so nitakapoona za kwenu ndio nitajua nini hasa mnataka na mimi hakika nitatoa yangu
heheheh kaka unajua hivyo vidogo pia vinaumuhimu hasa kwenye joomla maana kuna module zengine huwezi kuzibadilisha powered by .
Akili yangu ikiumia nafarijika. ahat akama nikishidwa najua katika kuumiza akili kuna vitu nitakuwa nimejifunza. Sikimbilii kutafuta solution kwa a kuogopa kuumiza akili.So bora ujue mapema usije kuumiza akili yako thn mwisho ukashindwa kutoa hilo neno maana likiwepo ni noma kweli kweli.
Teh teh Issam bana kumbe mpaka sasa bado hujajua kitu gani tunataka. Tunachotaka ifupi ni kutumia free source application itayofanikisha kutengeza directory kwa watanzania ambayo watatumia bureeeee.kuhusu kuawaangalia nyie coz nataka kujua kitu gani hasa kwanza mnataka maana mawazo yangu na yenu yanaweza yakawa diff so nitakapoona za kwenu ndio nitajua nini hasa mnataka na mimi hakika nitatoa yangu
Nimeweza kuoondoa kitu kinachokukera mkuu.Kwa kweli kaka si mbaya na si nzuri hii sobipro mana kitu ambacho i hate ni kuona neno hili Powered by Sigsiu.NET jaribu kutafuta ama kuangalia uwezekano wa kufuta hilo neno
baada ya muda mreeeefu? am I out?
yes that Ideas was so lakini kutokana na team kupwaya inabidi tutumie base za CMS zilizopo . eg Tukisema tutumie CMS ya joomla bado kuna kazi ya kudesign na customisation of template.soo tuna tumia CMS kutengeza web yetu? I thot tunaenda from scratch?