IT people naombeni msaada juu ya hii laptop yangu(acer)

IT people naombeni msaada juu ya hii laptop yangu(acer)

Dancan

Member
Joined
Aug 6, 2013
Posts
52
Reaction score
9
Salam kwenu mandugu,nina laptop yangu huwa nikidownload document inakubali,lakini nikidownload video huwa hainiletei window ya kusave au kuwatch later..nilimtafuta it flani akaniwekea IBM lakini ikakataa baada ya mwezi mmoja..naombeni mnisaidie jinsi ya kutatua hili tatizo.
 
  • Ni ukweli ulio wazi download mangaer pendwa ni IDM, ila huwasumbua wengi siku 30 zikiisha au kila akifanya updates iwapo kama alikuwa akitumia cracked.
  • Pendekezo tumia EagleGet, Ina features zote za IDM, Pia ina features za ziada ambazo IDM haina.
  • Na zaidi ya yote hii program ni Bure kabisa, Huu ndio ufumbuzi wa tatizo lako.
9-4-2013 5-40-43 AM_1.png9-4-2013 5-42-10 AM_2.png9-4-2013 5-47-30 AM_3.png​

  • Download kwenye hii link
    Code:
    [url=http://www.eagleget.com/]EagleGet - EG Download Accelerator, Free Video Downloader and more[/url]
​Karibu.
 
Back
Top Bottom