Wakuu leo ni birthday yangu natmiza 26 ninafuraha kwa kweli hasa kwa maisha nilio pitia na hapa nilipo ashukuruwe mungu
Heri ya kumbukumbu ya siku ya kuzaliwa kwako...barikiwa!!!
Happy birthday to you. Now you're exactly halfway my age.. Play smart..
HBD.... Imma!!
Happy birthday mkuu....wish you happy and longlife....
happy birth kada/kamanda, upate maisha marefu sanaaaaaa na yenye matumain, upendo na furaha pia.
Wakuu leo ni birthday yangu natmiza 26 ninafuraha kwa kweli hasa kwa maisha nilio pitia na hapa nilipo ashukuruwe mungu
happy birthday to you. Now you're exactly halfway my age.. Play smart..