It just hit me! - CCM's Best Idea ever to rule forever! | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

It just hit me! - CCM's Best Idea ever to rule forever!

Discussion in 'Jukwaa la Siasa' started by Mzee Mwanakijiji, May 13, 2009.

 1. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #1
  May 13, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  Kuanzisha matawi ya chama sehemu mbalimbali duniani, wakati wapinzani wanashangaa shangaaa na hawajui wafanye nini.

  For this one, kuna kizazi kipya kinakuja ndani ya CCM!!! gademu..!! na si wote mafisadi!
   
 2. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #2
  May 13, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Mwana kijiji nina swali. Hayo matawi yao ya nje yata wasaidiaje? Maana hao wanje hawawezi hata kupiga kura na hata wange ruhusuiwa kupiga kura their numbers are too small to make any difference. The place where the battle needs to be won is back home where it matters. Au nime kosea? Labda unge fafanua kidogo hayo matawi yao ya nje yata wasaidiaje kutawala milele? Au una maanisha hao wa nje wakirudi nao ni kuja kuendeleza ufisadi ndani ya CCM?
   
 3. Kinyambiss

  Kinyambiss JF-Expert Member

  #3
  May 13, 2009
  Joined: Dec 2, 2007
  Messages: 1,372
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 135
  Kupiga kura...?lol They are getting young educated people. They are the future leaders.
   
 4. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #4
  May 13, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  kupiga kura watabadilisha sheria kabla ya 2010..
   
 5. SYLLOGIST!

  SYLLOGIST! JF-Expert Member

  #5
  May 13, 2009
  Joined: Dec 28, 2007
  Messages: 306
  Likes Received: 57
  Trophy Points: 45
  Kwi kwi kwi!

  Kinachostua matawi haya yana watu wenye majina kama yana fanana fanana, sijui kwasababu ya Mwenyekiti!

  Kanusho: It hasn't hit me yet! Forever rule?...not best Idea
   
 6. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #6
  May 13, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  Ok asante sana mkuu. Je number za watz wa nje inaweza kuleta tofauti yoyote mkuu? Ila kama wana plan kubadilisha sheria basi wameona kuna faida.
   
 7. MwanaFalsafa1

  MwanaFalsafa1 JF-Expert Member

  #7
  May 13, 2009
  Joined: Feb 26, 2008
  Messages: 5,566
  Likes Received: 28
  Trophy Points: 135
  You are right. Tena kwa mambo yanavyo kwenda the youth won't be the future they will be the president. Na vijana wa nyumbani waamke.
   
 8. Mzee Mwanakijiji

  Mzee Mwanakijiji Platinum Member

  #8
  May 13, 2009
  Joined: Mar 10, 2006
  Messages: 31,362
  Likes Received: 6,393
  Trophy Points: 280
  subirini tu mshangae.. watatoka hawa, watakuja hawa na wao watawaleta wale na gurudumu la kutawala litakuwa linazungushwa kutoka upande huu kwenda ule na mwenge wa kuongoza (hata kama hauna moto) utaendelea kupokewa toka kizazi kimoja kwenda kingine wakati wengine wanaendelea kuombea tu kama fisi..
   
 9. Binti Maringo

  Binti Maringo JF-Expert Member

  #9
  May 13, 2009
  Joined: Jul 4, 2007
  Messages: 2,805
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0
  Cuzin i think now utakubaliana na mimi ninaposema hakuna cha 2010 au 2015 sijui...labda yesu arudi mara ya pili.

  Nilitoa wazo kuwa kama hivi vyama vya upinzani na watu wake humu JF wanataka change ndani ya tanzania then inabidi waanze recruit watu wao kuanzia sasa hivi badala ya kupiga tarumbeta....watu wakanibisha saaana...

  I believe kuna watu wana idea nzuri sana ya kuandika humu lakini utendaji kazi ni bure kabisa...Na nitarudia tena viongozi wetu wa kitanzania si chama tawala si vyama vya upunzani old skool new skool wote zero IQ......CCM juu juu juu zaidi!.....

  wasalaam waleykhum....

  Adios!...
   
 10. Bonnie1974

  Bonnie1974 JF-Expert Member

  #10
  May 13, 2009
  Joined: Mar 19, 2008
  Messages: 407
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Mkulu

  Kuna change kubwa inatokea nchini mwetu.

  Yaliyotokea Tarime, na yanaendelea Busanda ni kielelezo kuwa zile siku za KULA NA KUNYWA zimekaribia ukomo.

  IT TAKES THE WHOLE VILLAGE MWANAKIJIJI,THE WHOLE VILLAGE, TO WIN THE ELECTION,NOT JUST MATAWI MACHACHE YA UGHAIBUNI.

  Watu wamechoka.Jiandae kwa yatayotokea 2010.

  Nasubiri utabiri wa wachina waliotoa kuhusu hii existing administration.Walilosema na yanayotokea, yananifanya nifikirie zaidi kuhusu mustakabali wa Taifa letu.
   
 11. TIMING

  TIMING JF-Expert Member

  #11
  May 13, 2009
  Joined: Apr 12, 2008
  Messages: 21,837
  Likes Received: 125
  Trophy Points: 160
  Duh... Its a smart move kwa CCm, na kwa kadri upinzani unavyokwenda nadhani the best move kwa wapinzani ni KUJIUNGA NA CCM NA KUANZA KUICHAFULIA HEWA WAKIWA NDANI... just like what virus does in human body
   
 12. Ndahani

  Ndahani JF-Expert Member

  #12
  May 13, 2009
  Joined: Jun 3, 2008
  Messages: 14,325
  Likes Received: 1,792
  Trophy Points: 280
  Kwangu kitu cha msingi ni ustawi bora wa Taifa letu. Ilivyo sasa CCM imeamua kushindwa kutuletea ustawi bora. Naamini kabisa changes zipo na haziko mbali mana survival yao kama chama ni kuyakubali mabadiliko. Kama wanaanza kuingiza watu wenye mitazamo tofauti na ile ya kina Makamba, pengine wao kwa wao watalazimishana kubadilika. Bila kuacha kukumbatia ufisadi kwa vigezo vyovyote vinavyotolewa sasa, polepole wataanza kuyasikia maumivu. Ngoja tuendelee kuyaona!!
   
 13. Waberoya

  Waberoya Platinum Member

  #13
  May 13, 2009
  Joined: Aug 3, 2008
  Messages: 11,592
  Likes Received: 3,887
  Trophy Points: 280
  They can make difference bro, not in number as you have indicated but in gaining popularity worldwide, suppose CCM won all over the world, yet they steal votes locally, is hard for other countries to believe they have stealth votes locally. So as MKJJ pointed out this is one of their best idea though is preparation for absolute rule!
   
 14. Kapinga

  Kapinga JF-Expert Member

  #14
  May 13, 2009
  Joined: Nov 20, 2007
  Messages: 728
  Likes Received: 3
  Trophy Points: 0
  Not so sure abt the educated part!!
   
 15. stanluva

  stanluva Senior Member

  #15
  May 13, 2009
  Joined: Apr 7, 2009
  Messages: 147
  Likes Received: 5
  Trophy Points: 35
  Walisema nini mkuu! Kuhusu hii existing administration? Tupe data may be i'm outdated!
   
 16. S

  S. S. Phares JF-Expert Member

  #16
  May 13, 2009
  Joined: Nov 27, 2006
  Messages: 2,141
  Likes Received: 9
  Trophy Points: 0

  FINALLY...Mwanakijiji,

  Umechelewa kweli kuliona hili...lakini sio neno sasa tuko sambasamba...tulijadili sana hili suala mwaka jana na juzi. Nilishangamua kuwa CCM wako makini sana, walikaa wakaamua kubadili katiba yao kuruhusu haya matawi. Watakuwa madarakani miaka mingi sana ijayo...

  Inasikitisha watanzania wengi bado hajastukia janja hii ya ccm....time will tell.
   
 17. Shishye

  Shishye JF-Expert Member

  #17
  May 13, 2009
  Joined: Feb 26, 2009
  Messages: 269
  Likes Received: 0
  Trophy Points: 0
  Nafikiri wanaona upinzani unawapa challenge, so wanatapatapa. Labda wanahisi wanaJF wengi ndiko waliko, so wanajaribu kuwafikia ili wamdakeni mjiunge nao na mkae kimya. Ni strategy nzuri tu, lakini mbali ya yote kura za wananchi on the ground ndio zitaamua. Najua zitaibiwa kama kawaida, ila watu wanazidi kuwa macho kufuatilia taratibu za upigaji na uhesabuji. Watanzania wako tayari kufa kwa haki zao sasa. Ukitaka kujua fuatilia yaliyotokea Tarime (ambayo hayakutangazwa) watu walihujumiwa sana maisha yao lakini hawakukubali. Sehemu nyingine hali kadhalika moto utapamba hadi CCM watakubaliana na hali.

  Ukifuatilia wanachama na viongozi wao kwenye hayo matawi wanayofungua huko nje utagundua ni vibaraka walewale tu..... hakuna mwenye substance ya maana mle. Kama matawi ya ndani ya nchi hayakubaliki, ya huko nje yataleta influence gani?
   
 18. Spear

  Spear JF-Expert Member

  #18
  May 13, 2009
  Joined: Jun 21, 2008
  Messages: 510
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 0


  Na wafanye uwamuzi huo lakini athari yake zitawakumba baadhi ya wapiga kura wanoishi huko, kwani wengi wao wanjijiuwa nafasi zao katika nchi hizo,hali hiyo inaweza kusababisha ndio iwe chanzo cha one way ticket.yaliyowakuta WATANZANIA katika miaka ya TISI kule denmark yanaweza kutokea sehemu nyingine huko ulaya.
   
 19. MpigaFilimbi

  MpigaFilimbi JF-Expert Member

  #19
  May 13, 2009
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 1,171
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 133
  sentensi zako hazieleweki!
   
 20. MpigaFilimbi

  MpigaFilimbi JF-Expert Member

  #20
  May 13, 2009
  Joined: Apr 30, 2008
  Messages: 1,171
  Likes Received: 1
  Trophy Points: 133
  • Nikisoma michango ya wadau wengi hapa, napata picha kuwa wengi wanatamani nchi iwe na upinzani wenye nguvu ya kuweza kuing'oa CCM madarakani.Wengine wakiwahimiza wale ambao wako kwenye upinzani kuhamasisha wananchi, wengine wakiwakosoa kwa yale ambayo hayawapendezi.
  • Naomba niseme kuwa haipendezi kuwa mpinzani hasa kama hutaki majibizano au purukushani na mtu, kwa hiyo for whatever reason mtu anapoamua kuwa mpinzani hasa wa mfumo ambao una dola na nguvu za kutawala, ni lazima mtu huyo akawa jasiri.
  • Bahati mbaya wengi wa watz hatuko hivyo. Tuna hofu ya kutoa maoni yetu hadharani kwa kuhofia kuonekana ni mpinzani kwa kuwa upinzani umepewa sifa mbaya na utawala uliopo. Watawala nao kwa upande wao hawataki kuona mtu mwingine anawapinga, kwa sababu maisha yao yanategemea unyonge wa watawaliwa, ukianza na mtu mkubwa kwenye posti ya Rais mpaka mjumbe wa shina (kama kweli anafaidika), jumlisha na familia zao, extended families, hata kama wana nyumba ndogo. Kwa hiyo si dhana inayoweza kupokelewa kwa mara moja na watu kuukubali ukweli. Ni mpaka siku ambayo wananchi wenyewe watakapotambua haki zao, na kuona kuwa wamekuwa wakidanganywa kwa miaka mingi na kuamua kusema basi. Mwamko huo hauwezi kuja mara moja, zinahitajika juhudi za makusudi za kuelimisha umma.
  • Bahati mbaya nyingine kuwa resources za kuelimisha umma hazipatikani kutokana na kodi tunazolipa. Kinachotokea kwa baadhi ya wasomi ambao ndio wanatakiwa kuwa chache ni kutegemea mabadiliko ya mara moja. Hapo ndipo kila mmoja anapotaka kiongozi wa upinzania awe smart, awafikie wananchi Tanzania nzima kwa mara moja na kuwaelimisha na kuleta mabadiliko.
  • Ninaamini hili ni jukumu la kila mmoja wetu aliyechoshwa na mfumo huu kuleta mabadiliko, kwa hiyo si suala la kutaka kuwa na malaika kwenye upinzani kila anachosema kiwe sahihi, na kila move yake iwe sahihi na mabadiliko yawepo siku moja. Wote tuna nafasi ya kufanya kitu kwa mabadiliko.
  • Ni jukumu letu kuwapa moyo walio kwenye mapambano na sisi kushiriki mapambano hayo, kwani si rahisi kumnyang'anya fisi mfupa wake bila kutegemea upinzani, ndio maana sasa tunalazimia kukubali kutokubaliana hata wale ambao wapo hapa kwa ajili ya kumtetea RA, JK na magenge yao wanafanya hivyo kwa sababu zao, sio kwa kutafuta logic ya utawala bora. Wasitukatishe tamaa kwa kuwa tunaamini nchi hii ni yetu na ingeweza kuwa bora kuliko sasa kama kila mmoja angetimiza wajibu wake.
  • Ni nani anatakiwa kuwa mpinzani kwa ajili ya maslahi ya watanzania, kama kila mmoja anataka kuwa mtazamaji? Huu uoga hautupeleki popote!!
   
  Last edited: May 13, 2009
Loading...