- Thread starter
- #21
Agree. But there's a difference; a big difference.Do the Maasai way, 3 days done
This time around, they are fighting for their very survival to stay in power! They will do everything to accomplish that.
Agree. But there's a difference; a big difference.Do the Maasai way, 3 days done
Do the Maasai way close Moro Rd, Al Hassani Mwinyi Rd, Mandela Rd, Kilwa Rd see what it happensAgree. But there's a difference; a big difference.
This time around, they are fighting for their very survival to stay in power! They will do everything to accomplish that.
They may prefer this approach better; because it will concentrate their efforts in those areas; kill enough people and declare a national emergency, while still clinging on to power causing a lot of damage.Do the Maasai way close Moro Rd, Al Hassani Mwinyi Rd, Mandela Rd, Kilwa Rd see what it happens
Soma hiyo routeInatakiwa tujue tukitoka kuandamana direction na destination ni wapi?!
vituo vya kupigia kura?
vituo vya polisi au wapi?
hapo ndo me sijaelewa
tukisema tutoke kila mtu kwake lazima kuwe na sehem ya kukutana la sio itakuwa ni uzurulaji Tu.
NB: Ikulu zipo nyingiJe maandamano yanaelekea wapi?
Je maandamano yana malengo gani?
Au ni maandamano ya kutoa ccm mdarakani?
Kama yanaiga mfumo wa kuelekea ikulu kama Sri Lanka, Bangladesh na Nepal inabidi watu waende ikulu hata kwa fisi au kwa ungo.
Au maandamano yaanzie stendi ya kivukoni, stendi ya mwendokasi kivukoni, au stendi ya feri kwenye pantoni upande wa posta.
Au watanzania woooote na watu wote waende kama wanaenda kwenye ibada kwenye misikiti na makanisa yaliyo karibu na ikulu
Kwa misikiti waende kuswali misikiti ya posta, upanga, kariakoo, magomeni
Msikiti wa kisutu, kitumbini, kariakoo kwa mtoro, ksij, msikiti wa maamur upanga.
Makanisa
Watanzania woooote waende kusali misa za St Joseph cathedral ya posta na Azania Front ya posta.
Pakiwa na nyomi kwenye misa ya St Joseph cathedral na Azania Front ya posta pamoja nyomi kwenye stendi ya kivukoni kuingia ikulu ya Dar ni fasta tu.
Pia kuna ccc upanga na kkkt kariakoo
Mitaa ya posta iwe na nyomi, upanga na kariakoo pawe na nyomi kubwa lote linaelekea ikulu
Inabidi pawe na watu laki mbili hadi 1m karibu na ikulu baada ya hapo safari ya kuelekea ikulu inaanza. Labda iwe hivyo.
Hapana, nataka ifanyike online kama ilivyo sasaHiyo "tit for ti"' unataka ifanyikie nyumbani kwako?
Sasa unataka nipoteze muda na mpuuzi kama wewe?Hapana, nataka ifanyike online kama ilivyo sasa
Hapana, nataka upoteze muda kwenye maandamano ya onlineSasa unataka nipoteze muda na mpuuzi kama wewe?