B babalynn Member Joined Jul 31, 2008 Posts 21 Reaction score 1 Apr 11, 2009 #1 waungwana najitambulisha na kuchukua nafasi hii kujiunga nanyi, nataraji kuelimika na kuelimisha kwa yale tutakayochangiana......... asanteni sana kwa post moto moto
waungwana najitambulisha na kuchukua nafasi hii kujiunga nanyi, nataraji kuelimika na kuelimisha kwa yale tutakayochangiana......... asanteni sana kwa post moto moto
Mtu wa Kawaida JF-Expert Member Joined May 2, 2008 Posts 239 Reaction score 69 Apr 11, 2009 #2 Karibu jamvini Baba Lynn
Yo Yo JF-Expert Member Joined May 31, 2008 Posts 11,210 Reaction score 1,743 Apr 11, 2009 #3 Lynn hajambo? ....karibu sana JF..hapa hutakiwi kuwa na jazba ni kukata ishu tu...kubali kutokubaliana.....
Lynn hajambo? ....karibu sana JF..hapa hutakiwi kuwa na jazba ni kukata ishu tu...kubali kutokubaliana.....
Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 97,857 Reaction score 141,281 Apr 11, 2009 #4 Yo Yo said: Lynn hajambo? ....karibu sana JF..hapa hutakiwi kuwa na jazba ni kukata ishu tu...kubali kutokubaliana..... Click to expand... Wewe nawe kwa kutest zali mapema...aaah...hivi unadhani Lynn ni binti? akiwa kidume je?
Yo Yo said: Lynn hajambo? ....karibu sana JF..hapa hutakiwi kuwa na jazba ni kukata ishu tu...kubali kutokubaliana..... Click to expand... Wewe nawe kwa kutest zali mapema...aaah...hivi unadhani Lynn ni binti? akiwa kidume je?
Yo Yo JF-Expert Member Joined May 31, 2008 Posts 11,210 Reaction score 1,743 Apr 11, 2009 #5 Ng'waninyami said: Wewe nawe kwa kutest zali mapema...aaah...hivi unadhani Lynn ni binti? akiwa kidume je? Click to expand... Huwezi jua.....Ngoja nizichange nakuja GA nataka wale AKA.....
Ng'waninyami said: Wewe nawe kwa kutest zali mapema...aaah...hivi unadhani Lynn ni binti? akiwa kidume je? Click to expand... Huwezi jua.....Ngoja nizichange nakuja GA nataka wale AKA.....
Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 97,857 Reaction score 141,281 Apr 12, 2009 #6 Yo Yo said: Huwezi jua.....Ngoja nizichange nakuja GA nataka wale AKA..... Click to expand... Oh yeah...wale pouwa kabisa hawana noma...weee njoo tu. Nitakuzungusha hadi utachanganyikiwa...
Yo Yo said: Huwezi jua.....Ngoja nizichange nakuja GA nataka wale AKA..... Click to expand... Oh yeah...wale pouwa kabisa hawana noma...weee njoo tu. Nitakuzungusha hadi utachanganyikiwa...
Nyani Ngabu Platinum Member Joined May 15, 2006 Posts 97,857 Reaction score 141,281 Apr 12, 2009 #7 Yo Yo said: Huwezi jua.....Ngoja nizichange nakuja GA nataka wale AKA..... Click to expand... Oh yeah...wale pouwa kabisa hawana noma...weee njoo tu. Nitakuzungusha hadi utachanganyikiwa...
Yo Yo said: Huwezi jua.....Ngoja nizichange nakuja GA nataka wale AKA..... Click to expand... Oh yeah...wale pouwa kabisa hawana noma...weee njoo tu. Nitakuzungusha hadi utachanganyikiwa...
BAK JF-Expert Member Joined Feb 11, 2007 Posts 124,769 Reaction score 288,326 Apr 12, 2009 #8 Karibu sana Baba Lynn, jisikie upo nyumbani.