It is dangerous to be right when the gvt is wrong prove msemo huu kwa matukio ya kweli uliyosikia au kushuhudia

Superbug

JF-Expert Member
Jan 31, 2018
12,417
30,927
Kichwa cha habari kiko wazi hebu toa mifano ya kweli na sahihi popote duniani inayothibitisha kwamba ni hatari kuwa sahihi wakati mamlaka haiko sahihi kazi kwetu
 
Hakuna mfano wa kweli kwenye hili kwa kuwa Serikali huwekwa na Mungu mwenyewe!
 
Majaji waliofuta Matokeo ya Ushindi wa Kenyata hivi Sasa Na wao wamefikishwa Mahakamani Kwa Makosa ya Rushwa

Kenyata aliahidi kuwa shughulikia Na katimiza Hilo
 
Back
Top Bottom