macho_mdiliko
Platinum Member
- Mar 10, 2008
- 29,167
- 59,970
Hee hee hee ''Your excellency i am just trying to preach but .... but I can't reach you'' alisikika Magufuli akimwambia rais wa Malawi. Hii ni tafsiri ya moja kwa moja ya neno kwa neno, hata Google nafuu. ''Mheshimiwa najaribu tu kuhubiri lakini siwezi kukufikia (level yako ya kuhubiri)''Mimi naanza kushawishika kuwa Magufuli anaogopa kwenda nje ya Afrika kwa sababu anajua haimudu vizuri lugha ya Kiingereza.
Maana nje ya Afrika itakuwa ngumu kwa yeye kuzungumza Kiswahili.
Lakini ndani ya Afrika anaweza kuzuga kuwa kwa kuongea Kiswahili, anakuwa anaienzi lugha hiyo.
Deep down naamini hata yeye anajua kuwa Kiingereza hakimudu vizuri....
Kesho atakuwa msikiti wa Mtoro sala ya Ijumaa.Hahahaaa....yawezekana labda alipita humu JF na akauona uzi wangu.
Ila yawezekana pia labda tulikuwa na mawazo yanayofanana.
Weekend hii ningependa kumwona anaenda Coco beach au sehemu ingine kama baa...ambayo inabamba kwa sasa...
It was until your comment appeared on my screen when I realized the sad truth that those who cheers CCM and its deeds to our beloved land, most of them are morons.Achana na Lisu anayetumika na mabeberu.
Twende na Magufuli
We suppose to focus according our direction according our environment that's only way we can help our peoples no body should come and say that he is there to save the problems of our peoples we are the one we are leader we suppose to change the direction ...
Sent using Jamii Forums mobile app
All good to me.Kesho atakuwa msikiti wa Mtoro sala ya Ijumaa.
Ahsante!Muwekee na ile uliyosemaga akipona na kurudi hakuna atakayeweza kumzuia!!
Hata mie ninekuwa natofautiana na wewe sana Ngabu ila nikiri mara kadhaa umekuwa ukimtendea haki Lissu
Nyie watu mtamuua mtu,dahKesho atakuwa msikiti wa Mtoro sala ya Ijumaa.
Hayo uyasemayo yalishampata Uganda, Museven anaanza kumuokoa kujibu. Tangu pale hataki tena mambo ya njeYes, inferiority complex.
Atafanya kila kitu hata kama ni to the extreme ili kuficha udhaifu wake.
Ana hofu kuwa counterparts wake watamchukuliaje?
Pia hayuko well versed kwenye international affairs, social-economic dynamics za dunia hii, sasa akipigwa maswali ya angle hizo anaweza kubaki anang'aang'aa macho tu, Ndiyo maana anaona bora lawama kuliko fedheha ajikalie tu nyumbani
Ahsante sana.We ni mshenzi sana ktk lugha ya malkia...yaani huwa wapangilia maneno ktk ustadi wa hali ya juu. Watumia misamiati migumu lakini kwa tunaopenda kujifunza hatuchoki kukusoma. Hongera zako Nyani Ngabu👏🏾👏🏾👏🏾👏🏾
Uko vizuriNi wachache sana wanaoweza kukubali objective analysis.
Wengi wao wamelewa mapenzi.
Shukran jazilan.Uko vizuri
Inawezekana kabisa,lakini ukweli mwingine hata Kiswahili hajui vizuri kama sio hajui kabisa, kajitahidi sana na kawa mwenye bahati sana kufika hapo alipo, upande mwingine namkubali sana kwenye kusimamia miradi, kitu ambacho watanzania wengi hatuwezi,hii tu yaweza fanya nimpigie kura angalau ahudumu miaka mitano mingineMimi naanza kushawishika kuwa Magufuli anaogopa kwenda nje ya Afrika kwa sababu anajua haimudu vizuri lugha ya Kiingereza.
Maana nje ya Afrika itakuwa ngumu kwa yeye kuzungumza Kiswahili.
Lakini ndani ya Afrika anaweza kuzuga kuwa kwa kuongea Kiswahili, anakuwa anaienzi lugha hiyo.
Deep down naamini hata yeye anajua kuwa Kiingereza hakimudu vizuri.
That must be your inner monologue.Since you gave birth to a healthy baby daughter couple months ago, you’ve been working hard on your knew found hobby to get more child support out of your dead beat baby daddy. Seems like “Subterfugery” or whatever it is, is something you attorney coached you as part of your court room antics In front of the judge.
Gotta be your forte, how else could you come up with shit I ain’t ever heard about at all?So you suck your own dyck?
Damn ma! You got skills.
How much do you charge on your OnlyFans page?
Hey,hii kiinglishi nimekumbuka Ni verse flani za Jana state house magogoniAchana na Lisu anayetumika na mabeberu.
Twende na Magufuli
We suppose to focus according our direction according our environment that's only way we can help our peoples no body should come and say that he is there to save the problems of our peoples we are the one we are leader we suppose to change the direction ...
Sent using Jamii Forums mobile app
U can say that again. There's an opportunity in illegal bans and he is cashing in on the ineptitude of CCM NECLissu is the smartest politician that our country has ever had!!
Hey Ruta, what up?U can say that again. There's an opportunity in illegal bans and he is cashing in on the ineptitude of CCM NEC
Sent from my SM-A715F using JamiiForums mobile app
Stealing this one will make u go gagaWell, he has thus far outsmarted CCM, although in the end it will be for naught.
Sad but true.
He is in your shop looking to buy it are u there,What is Tundu Lissu up to today? Anybody know?