John alinunua gari kwa £4000,akaliuza kwa Henry £5000.Akalitamani tena,akalinunua kutoka kwa Henry kwa £6000.Siku za baadaye,akaamua kumuuzia lile gari Jane kwa £7000.Je,John alipata faida ya £ ngapi baada ya mtiririko mzima wa manunuzi na mauzo ya gari?
Alinunua kwa 4000 kisha akauza kwa 5000 hivyo faida = 1000
Alipolihitaji, akalipa 6000 hivyo ikamgarimu kuongeza 1000 hivyo loss = 1000
Kisha akaja kuliuza 7000, faida 3000 kulinganisha na bei aliyonunulia mwanzo,,
Wakati alipolinunua kwa 6000 ilimlazimu kukopa 1000 ili aweze kujazilia pesa aliyokuwa nayo..
Hivyo alipokuja kuliuza kwa 7000 ilimlazimu kurejesha 1000 na kubakiwa na 6000, hivyo faida aliyobaki nayo mwisho wa siku ni 2000...
Makofi Tafadhali..
Hongera,pwa pwa pwa pwa,imara,pwa pwa pwa pwa,waaah. (£5000-£4000)=+£1000,(£1000-£6000)=-£5000,(-£5000+£7000)=+£2000,Hint,(+)=profit,(-)=loss.Alinunua kwa 4000 kisha akauza kwa 5000 hivyo faida = 1000
Alipolihitaji, akalipa 6000 hivyo ikamgarimu kuongeza 1000 hivyo loss = 1000
Kisha akaja kuliuza 7000, faida 3000 kulinganisha na bei aliyonunulia mwanzo,,
Wakati alipolinunua kwa 6000 ilimlazimu kukopa 1000 ili aweze kujazilia pesa aliyokuwa nayo..
Hivyo alipokuja kuliuza kwa 7000 ilimlazimu kurejesha 1000 na kubakiwa na 6000, hivyo faida aliyobaki nayo mwisho wa siku ni 2000...
Makofi Tafadhali..
Alinunua kwa 4000 kisha akauza kwa 5000 hivyo faida = 1000
Alipolihitaji, akalipa 6000 hivyo ikamgarimu kuongeza 1000 hivyo loss = 1000
Kisha akaja kuliuza 7000, faida 3000 kulinganisha na bei aliyonunulia mwanzo,,
Wakati alipolinunua kwa 6000 ilimlazimu kukopa 1000 ili aweze kujazilia pesa aliyokuwa nayo..
Hivyo alipokuja kuliuza kwa 7000 ilimlazimu kurejesha 1000 na kubakiwa na 6000, hivyo faida aliyobaki nayo mwisho wa siku ni 2000...
Makofi Tafadhali..
Pwa pwa pwa pwa pwa......!!!!umepatia Mkuu
Hongera,pwa pwa pwa pwa,imara,pwa pwa pwa pwa,waaah. (£5000-£4000)=+£1000,(£1000-£6000)=-£5000,(-£5000+£7000)=+£2000,Hint,(+)=profit,(-)=loss.
yeah! Umepatia.. Keep it up mkuu!!