Pascal Mayalla
Platinum Member
- Sep 22, 2008
- 59,028
- 132,784
Mkuu Glenn , pole, kuna kitu kinaitwa apathy na kuna vibes,Ninatamani Mungu aniondolee chuki dhidi yako.
Nikiona tu id yako ninachukia kweli kweli japo sipendi kuchukia mtu.
Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
Wala usizunge huko koteMkuu Glenn , pole, kuna kitu kinaitwa apathy na kuna vibes,
Apathy ni inatokea tuu mtu unamchukua ukimuona tuu unachefukwa for no apparent reasons kama wamama waja wazito, the best way out for this ni kumu ignore, hii feature tunayo humu jf, uki mu ignore hutaona chochote cha mtu huyo.
Vibes ni pale mtu fulani hamuendani, picha haziendi, hampikiki kutokana na tofauti za kisiasa, mitazamo, chuki, dini, rangi kabila, kipato, or mli cross lines somewhere alikudump, alikupora, etc etc, this being the case, ni kujifunza tuu kitu kinachoitwa managing divesity, wako wengi humu jf wamenichukia nilipojiunga CCM, wananitukana sana humu jf na wote mimi nawapa like.
Hata unichukie vipi, mimi nakupenda tuu na nawapenda wote, na hata Lissu, ni mimi ndiye nilimshauri agombee urais.
GE2020 - Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha uwezo zaidi ya Magufuli!
Wanabodi, Hili ni bandiko la swali tuu, Ili uchaguzi wa 2020 usiwe ni igizo tuu la uchaguzi, Je tumchagize na kushinikiza Tundu Lissu ndiye asimamishwe na upinzani kumkabili John P. Magufuli? kwa sababu mpaka sasa, Tundu Lissu ndie mwanasiasa pekee wa upinzani ambaye so far, ameonyesha ana...www.jamiiforums.com
na baada ya kupigwa risasi na kupona, aligoma kurejea nchini, mpaka ahakikishiwe ulinzi, ni mimi tena ndiye niliyemshauri arejee tuu hivyo hivyo
Kamanda Lissu, Usisubiri Jibu la IGP Kuhusu Usalama Wako, Aliyekulinda na Shambulio Lile Yupo, Yeye Aweza, na Ataendelea Kukulinda, Welcome Back Home!
Wanabodi, Nimesoma mahali kuhusu Kamanda Tundu Lissu kuandika barua mbili kwa IGP kuomba kuhakikishiwa usalama wake ndipo arejee nyumbani Tanzania. ..Nimesikiliza mahojiano kati ya Mh.Tundu Lissu na kituo cha habari cha Clouds. ..Watangazaji walimuuliza Tundu Lissu atarejea lini, na jibu...www.jamiiforums.com
Hivyo wana Chadema, wanaonichukia, wananichukia bure!,
Ila na mimi pia ni binadamu na sio mkamilifu, kosa langu kubwa na udhaifu wangu mkubwa ni kuwa mkweli too much!,
Mfano uchaguzi huu, Chadema wengi wanaamini Lissu anashinda, mimi nimewaeleza ukweli ni JPM na CCM, ukweli kama huu
Uchaguzi 2020 - Mwana JF, be the first to know kuwa CCM ndio mshindi wa jumla wa Uchaguzi huu
unauma , watu wanakasirika sana na kutukana, lakini mwisho wa siku, ukweli ni masaa machache tuu utaanza kudhihirika...
P
ZwazwaSi tume huru tu, bila kuwepo demokrasia na uhuru kwenye vyama vyetu tutaendelea kulia.
Wananchi wanahitaji kuona tofauti yako na huyo unayetaka kumtoa kiuhalisia.
Magufuli anatuhumiwa kuwa dikteta, lakini kwa wale wabunge waliofukuzwa kwa kutotii amri ya mbowe kususia bunge unaitenganisha vipi na udikteta?
Tuonesheni utofauti wenu tuwaamini.
Acha uongo. Huna upendo. Tena una chuki mbaya sana na udini dhidi ya watu wasio dini yakoMkuu Glenn , pole, kuna kitu kinaitwa apathy na kuna vibes,
Apathy ni inatokea tuu mtu unamchukua ukimuona tuu unachefukwa for no apparent reasons kama wamama waja wazito, the best way out for this ni kumu ignore, hii feature tunayo humu jf, uki mu ignore hutaona chochote cha mtu huyo.
Vibes ni pale mtu fulani hamuendani, picha haziendi, hampikiki kutokana na tofauti za kisiasa, mitazamo, chuki, dini, rangi kabila, kipato, or mli cross lines somewhere alikudump, alikupora, etc etc, this being the case, ni kujifunza tuu kitu kinachoitwa managing divesity, wako wengi humu jf wamenichukia nilipojiunga CCM, wananitukana sana humu jf na wote mimi nawapa like.
Hata unichukie vipi, mimi nakupenda tuu na nawapenda wote, na hata Lissu, ni mimi ndiye nilimshauri agombee urais.
GE2020 - Tundu Lissu ndiye asimame na Magufuli 2020? Ameonyesha uwezo zaidi ya Magufuli!
Wanabodi, Hili ni bandiko la swali tuu, Ili uchaguzi wa 2020 usiwe ni igizo tuu la uchaguzi, Je tumchagize na kushinikiza Tundu Lissu ndiye asimamishwe na upinzani kumkabili John P. Magufuli? kwa sababu mpaka sasa, Tundu Lissu ndie mwanasiasa pekee wa upinzani ambaye so far, ameonyesha ana...www.jamiiforums.com
na baada ya kupigwa risasi na kupona, aligoma kurejea nchini, mpaka ahakikishiwe ulinzi, ni mimi tena ndiye niliyemshauri arejee tuu hivyo hivyo
Kamanda Lissu, Usisubiri Jibu la IGP Kuhusu Usalama Wako, Aliyekulinda na Shambulio Lile Yupo, Yeye Aweza, na Ataendelea Kukulinda, Welcome Back Home!
Wanabodi, Nimesoma mahali kuhusu Kamanda Tundu Lissu kuandika barua mbili kwa IGP kuomba kuhakikishiwa usalama wake ndipo arejee nyumbani Tanzania. ..Nimesikiliza mahojiano kati ya Mh.Tundu Lissu na kituo cha habari cha Clouds. ..Watangazaji walimuuliza Tundu Lissu atarejea lini, na jibu...www.jamiiforums.com
Hivyo wana Chadema, wanaonichukia, wananichukia bure!,
Ila na mimi pia ni binadamu na sio mkamilifu, kosa langu kubwa na udhaifu wangu mkubwa ni kuwa mkweli too much!,
Mfano uchaguzi huu, Chadema wengi wanaamini Lissu anashinda, mimi nimewaeleza ukweli ni JPM na CCM, ukweli kama huu
Uchaguzi 2020 - Mwana JF, be the first to know kuwa CCM ndio mshindi wa jumla wa Uchaguzi huu
unauma , watu wanakasirika sana na kutukana, lakini mwisho wa siku, ukweli ni masaa machache tuu utaanza kudhihirika...
P
Ila binadamu tunatofautiana sana fikra.Election Day is tomorrow.
I was told by the JF powers that be that we can’t make predictions about it.
So I’m not gonna make a prediction one way or the other.
But let’s face it, most of us already know it’s a fait accompli, in regards to who will ‘win’.
Time to look forward to 2025.
I don’t expect much to be different in the next election cycle.
For, if you always do what you’ve always done, you’ll always get what you’ve always got.
2025 panapo majaaliwa, tutajikuta hapa hapa tulipo leo, na pale pale tulipokuwa 2015, 2010, 2005, 2000, na 1995.
Pia, nimegundua kuwa hata makamanda nao uhalisia umeanza kuwaingia na wameanza kukubali kile ambacho baadhi yetu ambao hatujalewa u-vyama, tumekijua tokea 1995.
Hivi huwezi kuandika sentence fupi fupi. Unajaza utopolo humu kama nini yaani.Mkuu Glenn , pole, kuna kitu kinaitwa apathy na kuna vibes,

Ili kuzuia uchaguzi wetu usilete matokeo ya fait accompli, tuliwaomba wakubwa wetu, uchaguzi huu uendeshwe kwa ceteris paribus na sio kwa mutatis mutandisBut let’s face it, most of us already know it’s a fait accompli, in regards to who will ‘win’.
For, if you always do what you’ve always done, you’ll always get what you’ve always got.
Kuna quote moja ya Albert Einstein anasemaIf we always do what we’ve always done, we’ll always get what we’ve always got.
Nini maana yake?
Tukiendelea kufanya chaguzi zetu namna tuzifanyazo sasa, ‘washindi’ na ‘washindwa’ wataendelea kuwa ni wale wale tu...
Zwazwa
Imeisha hiyo
Hahaha interestingElection Day is tomorrow.
I was told by the JF powers that be that we can’t make predictions about it.
So I’m not gonna make a prediction one way or the other.
But let’s face it, most of us already know it’s a fait accompli, in regards to who will ‘win’.
Time to look forward to 2025.
I don’t expect much to be different in the next election cycle.
For, if you always do what you’ve always done, you’ll always get what you’ve always got.
2025 panapo majaaliwa, tutajikuta hapa hapa tulipo leo, na pale pale tulipokuwa 2015, 2010, 2005, 2000, na 1995.
Pia, nimegundua kuwa hata makamanda nao uhalisia umeanza kuwaingia na wameanza kukubali kile ambacho baadhi yetu ambao hatujalewa u-vyama, tumekijua tokea 1995.
Ukweli ni nini?Haiondoi ukweli ulioupata.
Ona huyu naye!Hizi ni akili za kitumwa na watu waliokata tamaa ya mabadiliko. Ingalikuwa akina Nyerere wana akili hizi, tusingewahi kupata uhuru.
Kwahiyo unabariki huu ukandamizi mpaka milele?
Haikubaliki hata kidogo, tunahitaji mabadiliko na itabidi kuamini na kufanyia kazi kwamba tutayapata
Akirudi hata uhuru wetu kidogo uliobakia anauchukua.Mkuu wako mbendembende lakini huyu Magu na ccm yetu hakika inaenda tenda mambo ya hovyo kupita ambavyo inatenda sasa kumbuka hata wale wenye ujasiri wa kukemea uovu wa ccm yetu nao watakaa kimya ataachwa mtu 1 anarun show, atakuwa anasifiwa na kuabudiwa. Yaani kuna sheria za hovyo mno zinakuja soon stay tuned.
Hujawahi kutambua hilo siku zote tangu uanze kuchangia hapa JF?Ukweli ni nini?
Wewe ndo chizi. Tena chizi 2.0.Kuwa wewe ni chizi. Hujawahi kutambua hilo siku zote tangu uanze kuchangia hapa JF?
I know you would want to know - I have a "life" you can never dream to attain in your entire lifetime.Wewe ndo chizi. Tena chizi 2.0.
Na ndo maana unani stalk kila mahali!!
Get a life.