mnyikungu
JF-Expert Member
- Jul 26, 2009
- 1,963
- 2,479
matatizo ya kutumia nulled script na templates, extensions, hiyo tovuti ilijengwa kwa joomla, plugins za joomla ambazo zimechezewa kama k2 na zingine ndo uwa sehemu ya kuanzia hackers wanapo invade site, pia admin section isipokuwa secured enough ndio mambo km haya hutokea
hao waliohack ni wa brazil walifanikiwa kuhack weak websites mia na kadhaa na hii website ni mojawapo tu so sio wa tz waliohack
matatizo ya kutumia nulled script na templates, extensions, hiyo tovuti ilijengwa kwa joomla, plugins za joomla ambazo zimechezewa kama k2 na zingine ndo uwa sehemu ya kuanzia hackers wanapo invade site, pia admin section isipokuwa secured enough ndio mambo km haya hutokea
Naona umeiva siku hizi!!!
Hivi ni kwanini JOOMLA imetawala hivyo tz?
hahaha nakusubiri tuhack mtandao mmoja tu hapa hapa hata tusiende mbali, karibu sana mkuu
uwa hii fani haina kustaafu sema unakuwa veterani, unawacoach vijana wadogo wanaochipukiaNishastaafu zamani sana hii fani....
uwa hii fani haina kustaafu sema unakuwa veterani, unawacoach vijana wadogo wanaochipukia