It hurts me when no one will notice where ever I go

It hurts me when no one will notice where ever I go

Naugua ni mwaka wa 3 sasa yani nashindwa vumilia maumivu mkuu ukizingatia napambana na Life lakini ni kama yananikataa😢😢hosp wanasema hakuna tatizo sijui ndo kurogwa nahisi naenda kufa

It pains a lot I just can't handle it
Unaumwa nini usaidiwe mawazo kijana usije jinyonga bure.....
 
Hali si nzuri kiafya mkuu imezungukwa Hospital kwa waganga tena waganga nimeona fiksi tu wanataka nipiga hela na haya maisha ya kuunga daah nimeona kifo kileee nikasema hapa ngoja niwahi kuwaaga wana humu
Wakati Fulani niliwahi kuwa jobless, na niliuona ule msoto sio poa kabisa. Ukweli ni kuwa maisha ni magumu mno, jikaze aisee. As long as bado unapumua, jikaze na hali hii itapita. Nothing is permanent, not even our problems.
 
Hello members good morning everyone

Ukweli ni kwamba sijui lini i really don't know when I just wanna say guys I like all of you here

Man it hurt my feelings that no one will notice when I go
I got no friends here but I like Jf and it's members
it's funny sometimes when they comment

So nimeona niseme kwaheri kabla sijadead plus Life is hard my friends

Lemme say this
wewe ni teja?
 
Binadamu ili kuwa bora lazima up ik we uive ili uliwe (changamoto,msoto)

Changamoto ,huwa ni sehemu nzuri ya kupikika ili uje uliwe.

Watu wengi tumepata Bahati katika changamoto na kupata marafiki wazuri katikati ya changamoto.

So mtoa post atumie gratitude ataona mwanga mkubwa.
 
Hello members good morning everyone

Ukweli ni kwamba sijui lini i really don't know when I just wanna say guys I like all of you here

Man it hurt my feelings that no one will notice when I go
I got no friends here but I like Jf and it's members
it's funny sometimes when they comment

So nimeona niseme kwaheri kabla sijadead plus Life is hard my friends

Lemme say this
Bon voyage 😪😥
 
unasumbuliwa na nini mkuu, ebu jaribu kufunguka kiundani unaweza kupata msaada
 
Jaribu kukumbuka kama kuna mtu ulimuumiza nenda kamuombe msamaha. Kuna watu wakimlilia Mungu juu ya uonevu uliowafanyia, utateseka sana. Simaanishi unayoyapitia ni sababu hiyo ila inawezekana ikawa ni moja ya sababu.
 
Kumbe matatizo ya afya?
Hilo swala pana.
Ugonjwa unasababishwa na craving,hatred and ignorance,tamaa,chuki na ujinga.
Ni matatizo ya cell replacement. A cell is worn out, a cell has to be replaced. Lazima uwe na memory ya kufanya replacement according to the original pattern.
Halafu of beware of the sun,at the times of the day when the heat is murderous.
Usipoteze muda( na hela) kwa waganga,in your case.
Lakini ukiweza kusali inasaidia.
Kusali,unachoma udi
Unamwita Bwana Yesu,au ( whoever)
Akifika,unamwambia,"Karibu"
Unamkaribisha akae kwenye kiti mbale yako.
Kama humuoni,you just imagine amefika.
Unamueleza matatizo.
Halafu unamwambia,"Kwa heri"
 
Naugua ni mwaka wa 3 sasa yani nashindwa vumilia maumivu mkuu ukizingatia napambana na Life lakini ni kama yananikataa😢😢hosp wanasema hakuna tatizo sijui ndo kurogwa nahisi naenda kufa

It pains a lot I just can't handle it⁷
 
Maisha haya sometimes yanatufundisha kwa namna ya pekee kabisa kiasi kwamba mtu akisema kuna hili huwezi kuamini mpaka uwe umepitia hiyo situation, may God heal you
 
Kuja in box tuhojiane mkuu.
Kuna jamaa aliwahi usually miaka 5 haonekani tatizo lakini kumbe hata wanavyo mpima si rahisi kugundua tatizo. Alipo pata vipimo sahihi alitibiwa kwa madfu 3 tu hadi leo ni mzimaaaaa.
Lakin ndugu jamaa na hata mgonjwa alidhan amerogwa
 
Similar Discussions

Back
Top Bottom