Salaam sana wanajamvi. Mimi ni Mshauri wa masuala ya teknolojia/tehama pia ni fundi computer. Kwa mara kadhaa hapo awali nimeutaarifu umma kwenye nyuzi kama hizi kama umetokea kukutana nazo https://www.jamiiforums.com/matangazo-madogo/451750-nauza-spea-za-laptop-computer-aina-zote.html
Hivyo kulingana na hayo naomba kufikisha taarifa hii kwenu. Endapo utakuwa na tatizo lolote kuhusu masuala hayo, tafadhari usisite kuwasiliana nami kwa namba 0713218388 au 0756949732. Vile vile natafuta kazi ya kudumu. Nawasilisha jamvini!

25 kwa 35 mkuu
Kazi utapata tu. Kuwa na subira.. sasa Mimi Nina shida. Nataka kujua namna ya Ku unlock huawei za Tigo. Na pia waweza kuniambia ni program gani naweza tumia?? Asante.Salaam sana wanajamvi. Mimi ni Mshauri wa masuala ya teknolojia/tehama pia ni fundi computer. Kwa mara kadhaa hapo awali nimeutaarifu umma kwenye nyuzi kama hizi kama umetokea kukutana nazo https://www.jamiiforums.com/matangazo-madogo/451750-nauza-spea-za-laptop-computer-aina-zote.html
Hivyo kulingana na hayo naomba kufikisha taarifa hii kwenu. Endapo utakuwa na tatizo lolote kuhusu masuala hayo, tafadhari usisite kuwasiliana nami kwa namba 0713218388 au 0756949732. Vile vile natafuta kazi ya kudumu. Nawasilisha jamvini!
Kazi utapata tu. Kuwa na subira.. sasa Mimi Nina shida. Nataka kujua namna ya Ku unlock huawei za Tigo. Na pia waweza kuniambia ni program gani naweza tumia?? Asante.
Mkuu,nina moderm yangu nilflash inatumia laini zote,now nimebadilisha laptop inagoma,though nina ile software ya ZTE Join air,nikiweka kwenye computer yangu nyingine(for home use),inakubali,bt computer hii nyingine inatumia windows xp sp2,lakini laptop ambayo moderm inagoma inatumia window 7,msaada na ushauri please!