General Nguli JF-Expert Member Joined Apr 22, 2022 Posts 1,269 Reaction score 2,635 Aug 23, 2022 #1 Bila kupepesa macho. Ninadogo hapa home nataka ni mlipie ada chuo kilicho sajiliwa akasome kozi tajwa hapo. Amemaliza Form 4 na amepata Dvn 2 ya 19. Naitaji msaada wenu bila kuchelewa.
Bila kupepesa macho. Ninadogo hapa home nataka ni mlipie ada chuo kilicho sajiliwa akasome kozi tajwa hapo. Amemaliza Form 4 na amepata Dvn 2 ya 19. Naitaji msaada wenu bila kuchelewa.
General Nguli JF-Expert Member Joined Apr 22, 2022 Posts 1,269 Reaction score 2,635 Aug 23, 2022 Thread starter #2 Pia hana masomo ya Physics na Chemia... Japo Math ana C.
General Nguli JF-Expert Member Joined Apr 22, 2022 Posts 1,269 Reaction score 2,635 Aug 23, 2022 Thread starter #3 Ma Lang ana B smart
Kasie Platinum Member Joined Dec 29, 2013 Posts 22,805 Reaction score 43,239 Aug 23, 2022 #4 Nimeona fursa hapa kwa upande wa taarifa za elimu ya juu.
C Chige JF-Expert Member Joined Dec 20, 2008 Posts 13,493 Reaction score 29,888 Aug 24, 2022 #5 Kwavile ni private Sponsorship, nenda kwanza DIT kaangalie uwezekano wa kuingia hapo!! Hapo iwe ndo First Hunting
Kwavile ni private Sponsorship, nenda kwanza DIT kaangalie uwezekano wa kuingia hapo!! Hapo iwe ndo First Hunting
General Nguli JF-Expert Member Joined Apr 22, 2022 Posts 1,269 Reaction score 2,635 Aug 24, 2022 Thread starter #6 Chige said: Kwavile ni private Sponsorship, nenda kwanza DIT kaangalie uwezekano wa kuingia hapo!! Hapo iwe ndo First Hunting Click to expand... Pale kwa kozi tajwa hana Phy na Chem kitu ambacho nikaja humu jukwaani
Chige said: Kwavile ni private Sponsorship, nenda kwanza DIT kaangalie uwezekano wa kuingia hapo!! Hapo iwe ndo First Hunting Click to expand... Pale kwa kozi tajwa hana Phy na Chem kitu ambacho nikaja humu jukwaani