sun wu
JF-Expert Member
- Apr 1, 2012
- 2,020
- 1,419
- Thread starter
- #21
Very true its called falling in love and not walking or sliding in love...!!!, yaani the only way kuhakikisha kwamba haufall ni kutokuwa kwenye relationships just as the only way kuhakikisha you dont fall is not to walk on a slippery floorMeaning? Unaweza ukajidanganya kuwa unaweza kuzuia moyo wako ucpende ukaamua kutafuta friend with benefits ila trust me,you wont see it coming,utastuka tu umeshaingia miguu yote. Love,achana na hiyo kitu kabisa.