Isuzu Wizard 3.0 Diesel Manual Transmission

Mzee Kigogo

JF-Expert Member
Jun 3, 2018
8,334
13,642
Wadau Kwema?! Samahani kama kuna mtu anafahamu wa hizi gari. Kuanzia Uimara wake, Ulaji wa mafuta, upatikanaji wa Spear zake, comfortability yake n.k.
Nna mpango wa kuagiza kutoka Japan so kama kuna mtu ameshawahi kuitumia sio mbaya ukashare experience yako kuhusu hii gari.
Ahsanteni
Screenshot from 2018-08-11 08-34-29.png
 
Back
Top Bottom