ISTALING ANDROID OS IN LG kp500

ISTALING ANDROID OS IN LG kp500

Joined
Aug 19, 2012
Posts
86
Reaction score
18
Habari zenu naombeni msaada, nauliza je inawezekana kuinstal android operating system version yoyote ile kwenye simu aina ya LG model kp500
 
Habari zenu naombeni msaada, nauliza je inawezekana kuinstal android operating system version yoyote ile kwenye simu aina ya LG model kp500

Unaweza install android kwenye compatible device. Hivyo be sure that you have compatible device first.

In most cases compatible devives comes with android already installed from manufactures
 
walijaribu nenda mylgcookie.com development section
wakashindwa tokea 2009 walijaribu kuport version ya kwanza ya android
 
mimi nimefuatilia hiyo link ya 2 jibu hili limenishibisha:
''Its possible , but only if you dont
need the phone anymore , then
you can test it.''
 
Back
Top Bottom