Mimi ni dereva Uber nimejichanga nimefikisha 6 million nataka kumiliki gari yangu kwa ajili ya biashara nikiisimamia mwenyewe.
Kaka zangu na dada zangu, ambaye anaweza kuniuzia gari yake anisaidie. Pesa yangu ni ndogo nafahamu lakini pia mtu anaweza kunipa then nikammalizia kwa installment kiasi kitakachokuwa kimebaki.
Kumbe unataka kufanyia biashara? Nunua basi hata Noah naona nayo watu wanapenda na inabeba watu wengi sana. Ufanye Uber ya kwenda Dar Kibaha au hata Chalinze. luqman luqman