IST inakula sana mafuta, sijui tatizo

IST inakula sana mafuta, sijui tatizo

Ushirombo

JF-Expert Member
Joined
Jan 22, 2013
Posts
3,558
Reaction score
2,711
Wana JF, Nina IST CC 1490, Mileage 89000km, Nilisafiri toka Mwanza to Dar ikaanza tatizo la kutumia mafuta zaidi ya kawaida yake, ilikua inatumia 16km/litre lakini sasa hivi inaenda hadi 8km/litre. Nimefanya yafuatayo lakini bado tatizo; nimebadili engine oil na gearbox oil, nimetoa plugs nikaweka mpya, nimesafisha nozels, air filter na oil filter.

Nisaidieni jamani nifanye nini zaidi ili irudi kama zamani? Nafilisika mie.
 
-chek exaust kama inavuja

-air controller sensor labda wesse linachomwa sana kuliko hewa

-chek upepo kwenye matairi

-chek fuel pumb.
 
Mkuu Ushirombo, kashughulikie yafuatayo:-

1. Angalia tenki la mafuta kama lina unyevunyevu. Kama linao basi linavujisha mafuta.

2. Angalia mfuniko wa tenki? Unafunga vizuri? Ni vizuri ubadilishe au badilisha seal zake

3. Kagulia pipes za mafuta kutoka kwenye tenki na kurudi kwenye tenki pamoja na fuel rail. Hakikisha hazina unyevunyevu wa kuvujisha mafuta

4. Angalia 'Charcoal Canister' kama inafanya vizuri

5. Cheki pipe ya kutoka kwenye 'Charcoal Canister' to intake manifold kama imechomekwa vizuri

6. Nozzles kama zina muda mrefu zibadilishe. Kusafisha haisaidii na zenyewe huwa zinachoka

7. Hakikisha spark plugs zako zote zinachoma

8. Badilisha Oxygen sensors

9. Safisha throttle body yote kwa sababu carbon deposits huwa inajaa ndani yake hivyo kuziba hewa kuingia kwenye combustion chambers

10. Hakikisha Overdrive button ipo 'ON'

11. Hakikisha Crankase ventilation System inafanya kazi vizuri (PCV pipes na PCV valve hazijaziba)

Ukishayafanya hayo rudi utupe maendeleo Mkuu.
 
Last edited by a moderator:
utabiri wa hali ya hewa unaonesha upepo mkali na mawingu makavu
 
Mkuu...aanze na namba 9 na 11. Mchezo utakuwa umekwisha.
 
Asante mkuu,ngoja nitafanya then nitarudi kutoa feedback
 
Last edited by a moderator:
wana jf,nina ist cc 1490,mileage 89000km,nilisafiri toka mza to dar,ikaanza tatizo la kutumia mafuta zaidi ya kawaida yake,ilikua inatumia 16km/litre lakini saiv inaenda hadi 8km/litre nimefanya yafuatayo lakin bado tatizo nimebadili engine oil na gearbox oil,nimetoa plugs nikaweka mpya,nimesafisha nozels,air filter na oil filter.Nisaidieni jamani nifanye nini zaidi ili irudi kama zamani? Nafirisika mie.[/QUOTE
ulitaka ile maji..usinunue gari kama huna uwezo wa kulihudumia...
 
Hopeless, kaa kimya kama huna cha kusema,we unafikiri sina au gari imebadili fuel consumption rate? Hata akiwa tajiri vp lazima gari aitunze na aitengeneza kila inapoonekana kuharibika,so unataka niitupe au niendelee kuwa nayo hvyo hvyo? Nyie ndo mnao haribu jukwaa,unapoona hujisikii kuchangia au hujui kaa kimya,kwani utachapwa usipoonesha ujinga wako humu? Mnaudhi sana
 
Back
Top Bottom