S Shabbyskillz2030 Member May 14, 2017 11 1 May 21, 2017 #1 nisaidie wadau gari gani nzuri kati ya hizi IST,FANCARGO,VITZS NA STALET
K kicha JF-Expert Member Jul 13, 2011 590 830 May 21, 2017 #2 Mtazamo wangu chukua ist au fancargo vitz na stalet ni za kitambo kdg hlf mvuto umepotea
falcon mombasa JF-Expert Member Mar 5, 2015 9,186 9,291 May 21, 2017 #3 ist ila cheki na wadau pia hapa MAGARI
S Sendoro Mbazi JF-Expert Member Jan 18, 2013 3,274 2,128 May 22, 2017 #5 funcargo kwa nafasi,uimara,na ulaji mzuri wa mafuta