Issue ya warrant ktk electronic gadget tz!! Geresha au fact?????

Issue ya warrant ktk electronic gadget tz!! Geresha au fact?????

bona

JF-Expert Member
Joined
Nov 6, 2009
Posts
3,798
Reaction score
1,444
Wadau embu tujadili issue ya kupewa warrant ktk bidhaa unazokua umenunua hapa tz, unakuta gadget inauzwa duka la kawaida tu kule kariakoo au posta alafu muuzaj anakwambia hii kitu ina warrant?? na ukimaliza kununua anakupa na karatasi mwenyewe akidai ni warrant card, cha kujiuliza how likely wewe unaweza ku claim hiyo warrant siku bidhaa ikiharibika au according na hicho kikaratasi alichokupa? ukiangali ni duka tu al kawaida hata technical support hana lakini anakupa warrant card? na majority if not all wala sio dealer kabisa!!
 
Nimewahi kununua simu sumsang ya kawaida tu kariakoo pale mzunguko nikapewa warrant ya mwaka baada ya wiki kadhaa simu ikaanza kuganda tu bila sababu nikawarudishia na wakanibadilishia
 
Back
Top Bottom