Mayunga234
JF-Expert Member
- Feb 17, 2017
- 1,726
- 1,989
Story tu izo. Nipo hapa Mipango hamna huo uwongo
Siku hizi hata hao wanafunzi wenyewe wa kike hakuna kitu japo siyo wote., ndio maana unakuta binti anajirahisi tu na haoni tatizo kugongwa na mkufunzi ili afaulu., mwisho wa siku unajikuta mpaka kazi anakuja kunitoa kwa hongo ya ngono.., hii Inchi kwa sas ni ngumu sana kila mtu anaona bora liende tu.Dodoma ina vyuo vingi sana na vikubwa baada ya issue ya lecturer wa UDOM kuwekewa mtego na kunaswa basi Nimepewa story ya chuo cha MIPANGO Dodoma unaambiwa hicho ndo balaa rushwa inaongoza huko Ukimkataa lecturer basi jua utapewa carry au utasup na unaweza kusup usichomoke
Hawa dada zetu wanapitia mengi sana na hakuna wa kuwatetea serikali ianzishe mpango maalumu wa rushwa ya ngono vyuoni itasaidia sana
Na mbaya zaidi wengine wanaambukizwa ukimwi wakiwa wadogo
Umenena vyema..,wasome pia waache mchezo...... wajitahidi kupata mark ambazo huhitaji kutia huruma ili uvuke kiunzi... sasa unapata below 50 kila siku nakutiatia huruma siunataka lawama tu..
Wanaoliwa wengi ni wale ma slay queen! Ukijiweka kiheshima chuoni hamnaWanawake wengi ni victim wa hii kitu, na ukiwa kichwa ngumu wanakufelisha na kusingizia mwanafunzi husomi, so inasikitisha sana, na mbaya zaidi hii rushwa huomba indirect kukwepa kukamatwa
Kweli...Wanaoliwa wengi ni wale ma slay queen! Ukijiweka kiheshima chuoni hamna
Lecturer atakae kusumbua!
Wewe kukicha upo ma club walimu wanakuona unaslay kusoma usomi halafu akuombe K umnyime si anakukamatia kwenye sup tu!
Imagine mwalimu kakuona club unaliwa mate kizembe halafu aombe mzigo ulete mambo ya kingese? Lazma akudake tuwasome pia waache mchezo...... wajitahidi kupata mark ambazo huhitaji kutia huruma ili uvuke kiunzi... sasa unapata below 50 kila siku nakutiatia huruma siunataka lawama tu..
Mabinti wengi wanaanzia kuwarubuni walimu wao huko mashuleni sekondari ili wapewe paper nk, tusilaumu wakufunzi tumulike tatizo limeanzia wapiDodoma ina vyuo vingi sana na vikubwa baada ya issue ya lecturer wa UDOM kuwekewa mtego na kunaswa basi Nimepewa story ya chuo cha MIPANGO Dodoma unaambiwa hicho ndo balaa rushwa inaongoza huko Ukimkataa lecturer basi jua utapewa carry au utasup na unaweza kusup usichomoke
Hawa dada zetu wanapitia mengi sana na hakuna wa kuwatetea serikali ianzishe mpango maalumu wa rushwa ya ngono vyuoni itasaidia sana
Na mbaya zaidi wengine wanaambukizwa ukimwi wakiwa wadogo
Chuo cha serikali za mitaa hombolo ni issue. Ifike mahali serikali iunde chombo cha kutunga na kusahihisha mitihani ya vyuo vyote Tanzania, kama ilivyo NECTADodoma ina vyuo vingi sana na vikubwa baada ya issue ya lecturer wa UDOM kuwekewa mtego na kunaswa basi Nimepewa story ya chuo cha MIPANGO Dodoma unaambiwa hicho ndo balaa rushwa inaongoza huko Ukimkataa lecturer basi jua utapewa carry au utasup na unaweza kusup usichomoke
Hawa dada zetu wanapitia mengi sana na hakuna wa kuwatetea serikali ianzishe mpango maalumu wa rushwa ya ngono vyuoni itasaidia sana
Na mbaya zaidi wengine wanaambukizwa ukimwi wakiwa wadogo
Umeambiwa rushwa ya ngono inahusiana na dada zetu. Mwanaume huwezi kujua, hakuna wa kukufuata, huna pussy ya ku-offerStory tu izo. Nipo hapa Mipango hamna huo uwongo.
😂aisee hii inauma sana Demu akiwapa wengine alafu wewe tu akunyime,ndio mana walimu wanakuwa na nongwaImagine mwalimu kakuona club unaliwa mate kizembe halafu aombe mzigo ulete mambo ya kingese? Lazma akudake tu
Wanaume mnashadadia tu hii kitu vile hamujavaa uhalisia na kupitia hyo situations mwanamke hata kama ni malaya au slay queen huwa hapendi kuzalilishwa na kutumika kwa kitu ambacho ni haki yako hyo huwa inaumiza na chuoni malecturer huwa hawajali uwe slay queen or not majority ya wanawake ni victim wa hivo vitendo. Ona hyo clip ya huyo lecturer wa udom katoka na mda ambaya wa kawaida wala sio slay queen, na hata ukiwa unajitahidi vipi Hawa washenzi huambiana kuhusu hvo vitu.Wanaoliwa wengi ni wale ma slay queen! Ukijiweka kiheshima chuoni hamna
Lecturer atakae kusumbua!
Wewe kukicha upo ma club walimu wanakuona unaslay kusoma usomi halafu akuombe K umnyime si anakukamatia kwenye sup tu!