Mayunga234
JF-Expert Member
- Feb 17, 2017
- 1,726
- 1,989
Dodoma ina vyuo vingi sana na vikubwa baada ya issue ya lecturer wa UDOM kuwekewa mtego na kunaswa basi Nimepewa story ya chuo cha MIPANGO Dodoma unaambiwa hicho ndio balaa rushwa inaongoza huko Ukimkataa lecturer basi jua utapewa carry au uta-supp na unaweza ku-supp usichomoke.
Hawa dada zetu wanapitia mengi sana na hakuna wa kuwatetea, Serikali ianzishe mpango maalumu wa rushwa ya ngono vyuoni itasaidia sana na mbaya zaidi wengine wanaambukizwa UKIMWI wakiwa wadogo.
Hawa dada zetu wanapitia mengi sana na hakuna wa kuwatetea, Serikali ianzishe mpango maalumu wa rushwa ya ngono vyuoni itasaidia sana na mbaya zaidi wengine wanaambukizwa UKIMWI wakiwa wadogo.