Issue ya nyumba utapata big commission | JamiiForums | The Home of Great Thinkers

Dismiss Notice
You are browsing this site as a guest. It takes 2 minutes to CREATE AN ACCOUNT and less than 1 minute to LOGIN

Issue ya nyumba utapata big commission

Discussion in 'Biashara, Uchumi na Ujasiriamali' started by survivor03, Jan 31, 2012.

 1. survivor03

  survivor03 JF-Expert Member

  #1
  Jan 31, 2012
  Joined: Jan 10, 2012
  Messages: 225
  Likes Received: 6
  Trophy Points: 35
  Wakuu mambo vipi?
  Mimi nina nyumba yangu kigamboni nataka kuikarabati kwa kutoa maduka (shops) mbili, ili nipangishe na kuongeza vyumba. Sasa kama mtu atakuwa interested anaweza tukawasiliana tukaenda eneo la tukio (nyumba) nikamuonyesha, halafu akanipatia fedha kwa ajili ya kutengeneza kwa 3 weeks baada ya hapo napangisha halafu kwenye kodi inayopatikana nampatia hela yake yote na commission ya 5% extra kutokana na kodi (rent) za shops. My contacts: 0715388666, mohdnass3@gmail.com ua ni PM
  Thanks!
   
 2. Ndachuwa

  Ndachuwa JF-Expert Member

  #2
  Jan 31, 2012
  Joined: Mar 8, 2006
  Messages: 4,530
  Likes Received: 725
  Trophy Points: 280
  Investors wa Tanzania (Wachaga) wameshafika hilo eneo? Kuna biashara gani inaweza kufanyika eneo husika?

   
Loading...