Israeli strikes in Syria

S-300bado sana yaani. Walipita na watapita tena. Unless wapewe S-400.
halaf israel ni watu wenye udhubutu sana yaani.. shida ya hawa jamaa uwoga wameuweka pembeni
Tuwekeye chanzo cha habari mkuu!
 
Israeli F_16 fighters jets strikes Iranians targets near DAMASCUS .the IDF official declined to comment on this report.
Chanzo chako cha hiyo taarifa ni kipi?.Maana najaribu kupita kwenye media maarufu lakini sioni chochote.
 
Na hiyo redio Kigali isije ikawa ndio Surf au Nissan nyeupe
Ze kokuyo ana madishi 12 ya satellite matatu kayaelekezea Syria moja Uturuki na jingine 1 Saudi rabia na Israel na2 Kramer na 2 Washington D.C. 2
Moja kona ya kawe kamera za siro ziliko ishia hana hizi tarifa!!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…