Mwaka 1967 katika vita Israel vs Egypt. Israel ilkuwa kila ikiteka askari wengi wa misri ilikuwa inawachiaga wengi tuu warudi kwao. Basi misri ikawa inatamba kuwa , Israel inawaachia Majenerali , mabrigadi na askari wengi wa vyeo vya juu bila kujua. Kwa sabau skari wa misri walikuwa wanajidisguise katika unifomu za makuruta.
Basi Israel kwa uwezo wao wa kufiki, ilkuwa kila ikiwakama askari wa ki misri ilikuwa inawavua nguo zao zote na kuwaacha wabakie na chupi tuu. sasa wale wote waliokuwa na chupi za polyista walikuwa ni maofisa wa ngazi za juu hivyo walikuwa wanawekwa pembeni. Na wale wote wenye chupi za cotton walikuwa makuruta hivyo walikuwa wanachiwa warudi kwao! Unaona jinsi jamaa walivyo kuwa wanajua kufikiri katika mazingira magumu!
Pretty self-explanatory...."Palestine​" is not a recognized state or country. They have no official language, no official government that's not considered a terrorist organization, no currency, no founder, no flag (except the one they stole and altered from Jordan), and no previous leaders prior to Arafat. They are occupying the land of Gaza, Judea and Samaria out of the kindness of Israels heart.
......... angalia 9/11 Trade Centre ilivyoteremshwa !Ally Kombo angalia kidogo 'Raid on Entebbe' uone jamaa walivyomakini
aaah yale si waliyateremsha wao wenyewe yale madege ilikuwa ni danganya toto tuu.......... angalia 9/11 Trade Centre ilivyoteremshwa !
<br />Hao bila Marekani hawana lolote!
<br />
<br />
Bila wao marekani hawana lolote.
MArab Woman Who Gave Birth Saved in Israel
Israel News | Israel's #1 News Site - Israel National News
one human family.
There are good stories every where.
Jewish guy gets attacked and a Muslim saves his life - YouTube
He is in NYC what do you expect, alete ukichaa wa middle east. Hapa hatuna huo ukichaa. Shukuruni Mungu amesha anza kuwabadilisha just because yupo USA. God bless America
Pretty self-explanatory...."Palestine​" is not a recognized state or country. They have no official language, no official government that's not considered a terrorist organization, no currency, no founder, no flag (except the one they stole and altered from Jordan), and no previous leaders prior to Arafat. They are occupying the land of Gaza, Judea and Samaria out of the kindness of Israels heart.
Mkuu Genesis
Kwa nini hukutumia neno "tushukuru"?
God bless the world and Tanzania.