kyagata
JF-Expert Member
- Oct 18, 2016
- 13,709
- 25,487
Oya
Myahudi kachafukwa kinoma.
Hataki discussion na mtu yeyote yule.
=================
Mkuu wa sera za kigeni wa Umoja wa Ulaya Kaja Kallas amependekeza awamu nyengine ya vikwazo dhidi ya mawaziri wawili wa Israel, walowezi wanaozua vurugu na viongozi 10 wa kundi la Hamas.
Waziri wa usalama wa Taifa wa Israel Itamar Ben-Gvir na Waziri wa fedha Bezalel Smotrich ndio walioangukiwa na vikwazo hivyo.
Israel kupitia waziri wake wa mambo ya nje Gideon Saar tayari imeshatoa onyo kwa Ulaya dhidi ya kuichukulia nchi hiyo hatua akisema hilo litaathiri matakwa ya Ulaya. Amesema hatua yoyote dhidi ya Israel itakuwa na majibu makali.
Wakati huo Shirika la habari la Palestina WAFA limeripoti kuwa mashambulizi ya Israel katika Ukanda wa Gaza yamewaua watu 17 akiwemo mwanamke mja mzito.