MWANZA_MWANZA
Member
- Dec 20, 2012
- 32
- 25
Kufuatia shambulizi la Wanamgambo wa Palestina dhidi ya Taifa la Israel lenye Jeshi kamili,je nguvu za Israel zimeanza kupungua?,au Marekani imeacha kuilinda Israel.
Tuelezee kidogo mkuuUnalijua likitu linaitwa Samson Option? Au chaguo la samsoni?
Tupe elimu mkuuUnalijua likitu linaitwa Samson Option? Au chaguo la samsoni?
Waisrael ni watu waoga tu hawewezi kupigana vita vyovyote, ni Marekani tu ndo inawapa kiburi. bila msaada wa Marekani Israel ingelikwisha kupotea kitamboKufuatia shambulizi la Wanamgambo wa Palestina dhidi ya Taifa la Israel lenye Jeshi kamili,je nguvu za Israel zimeanza kupungua?,au Marekani imeacha kuilinda Israel.
Hata hujui unacho ongea maskini weweWaisrael ni watu waoga tu hawewezi kupigana vita vyovyote, ni Marekani tu ndo inawapa kiburi. bila msaada wa Marekani Israel ingelikwisha kupotea kitambo
ww tajiri unajua nn, Israel ni majizi tu , yamepewa ardhi ya Palestina, wakaunda Taifa lao kwa mauaji kwa msaada wa Uengereza na Marekani, na wanaendelea kupora ardhi kila kukicha, wana jeshi kamili wana silaha nzito, wana teknolojia ya kisasa, lakini jana wamevuliwa nguo wametiwa na dole na watu ambao hata nchi hawana jeshi hawanaHata hujui unacho ongea maskini wewe
Tatizo ni uislam wako na si kitu kingine ndio maana unajadili mambo kimihemko Israel haina haja ya kuhitaji msaada wowote ili kupigana na Palestine.ww tajiri unajua nn, Israel ni majizi tu , yamepewa ardhi ya Palestina, wakaunda Taifa lao kwa mauaji kwa msaada wa Uengereza na Marekani, na wanaendelea kupora ardhi kila kukicha, wana jeshi kamili wana silaha nzito, wana teknolojia ya kisasa, lakini jana wamevuliwa nguo wametiwa na dole na watu ambao hata nchi hawana jeshi hawana
Israeli ilipigwa tukio wakiwa wamejisahau tena wakiwa mapumziko ya kidini. Huenda Israeli akaichukua tena Gaza kama ilivyokuwa hapo awali.Kufuatia shambulizi la Wanamgambo wa Palestina dhidi ya Taifa la Israel lenye Jeshi kamili,je nguvu za Israel zimeanza kupungua?,au Marekani imeacha kuilinda Israel.
hatuzungumzii dini hapa, tunazungumzia wizi na mauaji . huko Palestina kuna wakristo na kabisa la mwanzo kabisa,Tatizo ni uislam wako na si kitu kingine ndio maana unajadili mambo kimihemko Israel haina haja ya kuhitaji msaada wowote ili kupigana na Palestine.
Hamas hawapewi sapoti yeyote?Waisrael ni watu waoga tu hawewezi kupigana vita vyovyote, ni Marekani tu ndo inawapa kiburi. bila msaada wa Marekani Israel ingelikwisha kupotea kitambo
sasa support anayopewa Israel utalinganisha na hamas kweli....🤷🤷🤷Hamas hawapewi sapoti yeyote?
Kwa hiyo lawama ziende kwa supporters?sasa support anayopewa Israel utalinganisha na hamas kweli....🤷🤷🤷
hawana sapoti yoyote, kuwasaidia Hamas ni kosa la jinai, kwa hio wanaume wanajiongeza wenyewe wanatengeza silaha wenyewe, Israel sasa anapokea zaidi ya dola bilioni moja kutoka MarekaniHamas hawapewi sapoti yeyote?
wagalatia wa bongo na ushabiki maandazi, wale wanaume wako tayari kufa , na washasema bora wauliwe kuliko kudhalilishwa na mayahudi, lakini mayahudi sasa hayataki kufa yaani myahudi mmoja tu Akifa basi msiba mkubwaNaitaka Israel ifyeke Kila kitu hapo Gaza.
Ifyeke kuanzia kuku mpaka binadamu wote WALIOPO hapo
Waisrael ni watu waoga tu hawewezi kupigana vita vyovyote, ni Marekani tu ndo inawapa kiburi. bila msaada wa Marekani Israel ingelikwisha kupotea kitambo
Hamas hawapewi sapoti yeyote?
sasa support anayopewa Israel utalinganisha na hamas kweli....🤷🤷🤷
kwa support anayopewa Israel ni Aibu kwa alichofanyiwa juzi na hamas, zile porojo Iron dime sijui zimeishia wapi sasa.Kwa hiyo lawama ziende kwa supporters?
wamevuliwa nguo mchana kweupe halafu wakapigwa kofi matakonikwa support anayopewa Israel ni Aibu kwa alichofanyiwa juzi na hamas, zile porojo Iron dime sijui zimeishia wapi sasa.