TuntemekeSanga
JF-Expert Member
- Jan 15, 2015
- 1,346
- 863
Duru za kuaminika zimeripoti kuwa, wanajeshi wa utawala katili wa Kizayuni wamefanya uvamizi mwingine katika Ukanda wa Ghaza huko Palestina.
Shirika la habari la al Karama limeripoti kuwa, wanajeshi wa Israelwaliojizatiti kwa mabuldoza matano, leo Jumatano wameuvamia Ukanda wa Ghaza katika kambi ya wakimbizi ya al Barij.
Hadi tunaripoti habari hii hakukuwa kumetolewa taarifa zozote kuhusu hasara zilizosababishwa na uvamizi huo, Hii ni katika hali ambayo wanajeshi wa utawala wa Kizayuni jana walimpiga risasi na kumjeruhi kijana mmoja wa Kipalestina katika Ukingo wa Magharibi wa Mto Jordan.
Kijana huyo wa Kipalestina hivi sasa anatibiwa katika moja ya hospitali za mji wa Baytul Muqaddas.