Israel yamuua padri wa Kikatoliki Lebanon

Israel yamuua padri wa Kikatoliki Lebanon

kimsboy

JF-Expert Member
Joined
Oct 17, 2016
Posts
11,120
Reaction score
24,394
Wameshambulia kanisa wakamlenga Padri na kumuua hapo hapo na kujeruhi waumini kadhaa

BREAKING: Israel attacks Catholics in Lebanon.

Qlayaa’s Catholic priest, Father Pierre was killed in a “double tap” shelling as air strikes hit the area. In July, Pope Leo XIV condemned Israel for targeting Catholics and places of worship.

Lebanon’s large Christian population was also targeted by Israeli strikes during the Gaza war.

Former congresswoman Marjolie

Israel killed a beloved Priest in Lebanon in their vicious bombing campaign in Christian villages. Christians are gathered to mourn the death of Father Pierre El-Rahi.
America must stop funding, providing weapons, and aiding Israel’s attacks on innocent people and children.

20260310_213601.jpg
20260310_213928.jpg
 
Lkn kimsingi Watanzania inaonekana walikuwa hawajui vizuri kuhusu Waisrael

nasema aya kwa kutanya utafiti kidogo nanyi mashahidi......

kabla ya vita ya 7 October Watz wengi kwenye magari yao Walitundika Bendera ya Israel

lkn leo kupata gari yenye Bendera ya Israel ni mojamoja sana kwa mkoa wa Dar es salaam

Watanzania ni watu wa upendo wa Amani!!

Walichokiona kimewafunza kitu kutemea mate Wakristo!!!

kuuwa Watoto hospitalini kina Mama kuwaacha watu njaaa!!!

wameona hapana 🟰‼️

Wameshtuka Watoto wa Mungu yupi uyooo tunaemwamini sisi!!!

Hesabu zimegoma 🟰 ‼️

kuona mateso kwa watoto kiasi kile.. wengine Makanisani wanauwawa!!!!
wameondosha Bendera wenyewe..
 
Alikwambia Nani Mimi naongelea dini?
Wewe unajulikana usijitoe

Hoja zako nyingi humu Huwa una waponda makobazi , mara makobaz this makobaz that , Ukishasema hivyo tu Tayari umesha ingiza udini , mnashindwa kuelewa kwamba hayo mataifa yanagombana kwasababu ya Power struggle za kisiasa mataifa yote hayo ya middle east ugomvi wao ni power struggle kuhusu siasa

Kuhusu dini hakuna hata Taifa Moja ambalo linaongea ukweli kuhusu dini wote ni matapeli

Mungu angekuwepo kweli asingeruhusu Israel iwe inaua mpaka watoto wachanga mungu angekuwepo kweli asingewaacha Palestine for decades wawe wanapewa kipigo Cha mbwa Koko

Kama Kuna mungu kweli na anaruhusu hayo yatokee mungu huyo atakuwa kichaa
 
Wayahudi sio waktristo na WAla hawautaki ukristo ila sisi walokole WA afrika Sasa Kwa kuwashobokea
Aliyekuambia wayahudi wakristo Nani? Kwani hapa tunashindanisha dini? Aliyekuambia wana utajua Uislamu wako Nani? Hata kama wanataka hii hai said I chochote Iran ataendelea kupigwa tu!!!
 
Lkn kimsingi Watanzania inaonekana walikuwa hawajui vizuri kuhusu Waisrael

nasema aya kwa kutanya utafiti kidogo nanyi mashahidi......

kabla ya vita ya 7 October Watz wengi kwenye magari yao Walitundika Bendera ya Israel

lkn leo kupata gari yenye Bendera ya Israel ni mojamoja sana kwa mkoa wa Dar es salaam

Watanzania ni watu wa upendo wa Amani!!

Walichokiona kimewafunza kitu kutemea mate Wakristo!!!

kuuwa Watoto hospitalini kina Mama kuwaacha watu njaaa!!!

wameona hapana 🟰‼️

Wameshtuka Watoto wa Mungu yupi uyooo tunaemwamini sisi!!!

Hesabu zimegoma 🟰 ‼️

kuona mateso kwa watoto kiasi kile.. wengine Makanisani wanauwawa!!!!
wameondosha Bendera wenyewe..
Watanzania wanapaswa kuniuliza swali Moja tu kwanini Nyerere aliwakataa waisrael Hawa wamchongo licha ya kwamba Nyerere alikuwa ni muumini mzuri tu wa catholic church aliona Nini !?

Na alikuwa anajua Nini kuhusu watu hao!?

Watanzania wana uzwazwa mwingi sana
 
Aliyekuambia wayahudi wakristo Nani? Kwani hapa tunashindanisha dini? Aliyekuambia wana utajua Uislamu wako Nani? Hata kama wanataka hii hai said I chochote Iran ataendelea kupigwa tu!!!
Mara nyingi ninasema humu hii vita asilimia kubwa wanaoshabikia Israel ni sababu za kidini tu?
Haiwezekan ushabikie watu wanaoua watoto, walioanzisha vita katikati ya mazungumzo ya amani,
Tofauti na dini unasababu ipi ya msingi kuwashabika?
 
Watanzania wanapaswa kuniuliza swali Moja tu kwanini Nyerere aliwakataa waisrael Hawa wamchongo licha ya kwamba Nyerere alikuwa ni muumini mzuri tu wa catholic church aliona Nini !?

Na alikuwa anajua Nini kuhusu watu hao!?

Watanzania wana uzwazwa mwingi sana
Ngoja nikupe shule mjinga wewe!!
Mnamo Oktoba 1973, Shirika la Nchi za Kiarabu Zinazouza Mafuta Nje (OAPEC) lilitangaza marufuku ya kuuza mafuta kwa nchi za Magharibi na nchi zote zilizokuwa na uhusiano wa kibalozi na Israeli wakati wa Vita vya Yom Kippur. Nchi kama Marekani, Uingereza, Japani, na Kanada zililengwa mahususi.

Njia pekee ya kupata mafuta ilikuwa kwanza uvunje uhusiano wa kibalozi na Israel ndipo Una Uzi wa hayo mafuta kinyume chake huwezi kuuliwa kwa mtu ndo huu nchi nyingi za Kiafrika zililazimika kuvunjwa uhusiano wa kibalozi na Israel ili zipate mafuta.

Mwalimu Nyerere hakuna na la kufanya bali kuvunjwa uhusiano wa kibalozi na Israel ili tu nchi yetu ipate mafuta wala hakukuwepo na tatizo Kingine lolote lakini watoto wa 2,000 haya hawayajui wamebaki kubwabwaja tu kufuatia misukumo na mihemko ya waarabu.

Hili lilisababisha bei ya mafuta duniani kuongezeka mara nne karibu kila siku, ikiruka kutoka takriban $3 hadi $12 kwa pipa kipindi hicho cha mwaka 1973.

Kwa hiyo usituletee taarabu za kijinga kuhusu Mwalimu Nyerere!!!

View: https://x.com/bantubold/status/2030893599840186447?s=61
 
Tatizo lengine kwa Jamii yetu ni Wachungaj vilaza kwao kusema Ukweli ni Mwiko wapo kugawanya watu ili kwao ndio lenye Faida

sio kuunganisha Jamii za Iman kwa kuwapa maneno yenye kuwaunganisha!!

japo Jamii inaimani tofaut. kazi yao kuzibomoa Jamii tena kwa Faida ya Sadaka yako!!!

Embu jiulize ulikuwa unajua ya kwanza Pale GAZA kwenye Hamas wanaoitwa Magaidi na vyombo vyote vya Habari Duniani...!

kuwa kuna Wakristo wengi kuna Makanisa mengi kuna Jumuiya za Kikristo zinendelea na Maisha yao kwa Amani bila off yoyote!!

kama Tz tu tena kwa Amani ndani GAZA!!

hatujawai sikia Vita ya Waislam na Wakristo pale GAZA!!!

Nesema uwongo???

Waislam na Wakristo wanaishi km jumuiya Moja wakisaidiana na kudumisha undugu wao chini ya Hamas

Tofaut na Akili za Wachungaj wa Bongo❗️tushangae zaidi kwa pamoja yupo Kasisi wa Kikatoliki kutokea Vatican anaeudumu GAZA akiwa na ya Gari ya Jumuiya ya Kanisa amekamatwa na kufungwa uko Israel mpaka leo naamini!!!

kwa kukutwa kwenye gari yake Silaha mitutu lengo kuipeleka Gaza kinyume na Sheria za Israel !!!

Manake Wakristo wa Gaza lao moja kujitoa kwenye Kukandamizwa kuzungukwa na Israel Mishetani yenye lengo la kuyanajisi maeneo Matakatifu kwa Imani zote mbili.¿¿

So kimsingi Wakristo na Waislam wanapambana pamoja kujitoa kwenyenyororo ya Mashetani.

Uku Bongo Wachungaj wanawataka waumini wao kuwaona Waislam kama adui yao mkuu!!!

kwamba Wanawatisha eti lengo la UISLAM kuwauwa Wakristo na kutawala TZ kwa Imani ya KISLAM zaidi ya Ujinga ata kufikiria tu!!!

Nasema ujinga sababu izi kuu.. kisemwacho na Wachungaj kingewezekana tu!!

kama UISLAM au Ukristo moja ya Imani izi ingevamia Tz na kukuta Iman pinzani yake watupu!

yani mfano UISLAM unavamia Tz unakuta Wakristo watupu au kinyume chake Ukristo umekuta UISLAM watupu!!

Dini yao ndeni ndiokwanza imefika sehemu kusudiwa!!

Lkn. TZ tayali kuna Ukristo tayali kuna UISLAM kwa miaka na miaka manake washaungana ndiomana leo hakuna Familia isio na Ukristo au UISLAM!!!✅️

hakuna mazishi hakuna Wakristo au Waislam✅️

hakuna Shule ata za Dini utakosa Iman nyengine ktk Dini zetu✅️

TZ watu washakuwa ndugu watauwana vipi kidini ⁉️

kuna wajinga watafananisha TZ na Nigeria kule tatizo kuu Ukabila Familia tangu zama zimejitenga kikabila Udini unatafuta chanzo za ziada✅️

Tz RIP.Mwalimu J. Nyerere kapambana kutomeza Ukabila leo mikoa mingi kuna mchanganyiko wa Makabila tofaut tofaut

Ukidhibiti Ukabila tatizo la Dini limekufa kibudu✅️

Apo Kenya wamebadili Katiba chama cha KANU km CCM kimezikwa ukisikii kabisa!!

lkn Kenya kunamatatizo zaidi ya jana Sababu kuu wameshindwa kuondosha Ukabila ndani ya Kenya tatizo ni ilo mengine yanakuja yenyewe automatically

ktk ili Usalama wa Taifa upewe Mauwa yake! Wameusika kuifanya Tanzania kuwa moja kuondokana na Ukabila !!

mikoa yote tangu kupindi cha Nyerere wameenda na iyo Ajenda Mpaka kesho wanaendelea ivyo kutomeza Ukabila.. wa kieneo Kimikoa

lkn ukiwachunguza Wachungaj wenyewe waovu sn kwa Waumini wao,,

Upande wa pili kuna faida zaidi kwao kuwatisha waumini wao kuliko kuwaungaisha na Dini zingine.

Nawashangaza tena Hezbollah inaungwa mkono zaidi na Wakristo ambao ndio wengi ndani ya Lebanon

Hezbollah imejikita zaidi kusini mwa Lebanon uko kunapatikana pia Wakristo wengi zaidi ndani Lebanon.

Viongozi wa Kiislam wa kisuni wanawapinga Hezbollah kinoma,, ukiacha suni wananchi kawaida.

ndiomana Rais wa Lebanon na Waziri mkuu wanakosa nguvu za kuwashurutisha Hezbollah.

Sababu HEZBOLLAH wao wananguvu sio ya silaha tu lkn ya wananchi wengi zaidi.

Tatizo lengine kubwa ili uwe Rais Lebanon au uwe Waziri mkuu kwanza lazima wakujue wakubwa km Saudi Arabia au Marekani je upo tayali kuwa Kibaraka.

Na ukiwa kibaraka huwezi apo apo kuungwa mkono na Wananchi wa Lebanon na popote ipo ivyo!!

ndiomana Hezbollah inanguvu kuliko Serikali au Jesh la Lebanon.✍️
 
Kanisa, msikiti, shule na hospitali, ni sehemu ambazo zinastahili kulindwa dhidi ya mashambulizi. Haya ni maeneo ambayo wale wasio na silaha, wananchi wa kawaida hukimbilia ili kuokoa maisha yao. Labda idhihirike wazi kuwa maeneo hayo yanatumika na wapiganaji. Lakini hata wapiganaji wakikimbilia maeneo hayo, na wasifanye mashambulizi yoyote, ina maana wamesalimu amri, hawatakiwi kushambuliwa.

Siku zote vita haijawahi kuwa ni jambo jema. Kwenye vita hakuna anayeweza kujihakikishia usalama.
 
Huwa nawashangaa wakristo wenzangu wenye vibendera vya Israel kwenye magari yao. Palestina na Lebanon kuna wakristo wengi kuliko Israel, as a matter of fact rais wa Lebanon ni Mkristo anaitwa Joseph!
 
Ngoja watu wa ministries na milima ya moto na kalvar waje Tuiombee Israel as per mzee wa kanisa
 
Huwa nawashangaa wakristo wenzangu wenye vibendera vya Israel kwenye magari yao. Palestina na Lebanon kuna wakristo wengi kuliko Israel, as a matter of fact rais wa Lebanon ni Mkristo anaitwa Joseph!
Vita ni vita Mura haijalishi ni Mkristo au Mfuga Midevu na Majini!!!

Israel ilishatoa taarifa watu watoke kwenye maeneo hayo Kabila haijaanza kushambulia kama yeye alipuuzia basi itakuwa Kosa la Marehemu hakuna wa kumlaumu!!
 
Mada ni israel kuua padre mambo ya tanzania kushobokea israel yanatoka wp.
Anyway israel has to be stopped.
Hakuna kitu kama hicho Israel lazima iwashughulikie magaidi wa Hezbollah popote walipo kama kuwa Stopped basi Magaidi wa Hezbollah wawe wa kwanza!!

Hivi kwa nini mna kosa ujasiri wa kuwakemea magaidi? Au kwa sababu mnasali nao Misikitini?
 
Back
Top Bottom