Echolima1
JF-Expert Member
- Nov 2, 2019
- 6,929
- 6,029
Acha ujinga wako Nani amekuuliza Ukatoliki wako? Nani alikudanganya hapa tuna TANGAZO Ukatoliki? Ni hili nilishaeleza kwa kirefu sana!!Watanzania wengi ni wapumbavu Nyerere alikua Mkatoliki lakini alisimama na Palestina mwanzo mwisho na Mandela pia mimi mkatoliki lakini siungani na wahuni wa Israel wakina Netanyahu
Soma Post # 11 kama wewe ni BUMUNDA huwezi kuelewa kwa nini Mwalimu Nyerere na nchi zingine walifanya maamzi hayo!!!
