Israel yajibu mashambulizi dhidi ya Iran. Yashambulia Iran, Syria na Iraq

Hamna lolote waongo hao
1001994888.jpg
 
Marekani wanahangaishwa sana na mtoto wao wa kambo.........

Ningependa mdau mwenye uelewa mpana wa siasa na uchumi wa kimataifa atudadavulie kuwa Marekani anafaidika nini na Israel mpaka kuingia hasara na kuhatarisha usalama wa taifa lake kiasi hicho
 
We
Wendawazimu wawili wamekutana na kila mmoja hayupo tayari kuishusha heshima yake mbele ya hadhira.

Amerika, Russia na China wanapaswa kuingilia kati kabla ya middle east haijaharibika.

Amerika asichochee vita hii bali awe msuluhishi bila ya kujali uhusiano wake na ISRAIL.
Wenda wazimu wawili nani na nani hapo mwendawazimu ni mmoja tu Israeli Wacha wazimu wako huoni yeye ndio muanzishi wa mabalaa yote duniani na khasa Mashariki yakati??
 
Back
Top Bottom