KikulachoChako
JF-Expert Member
- Jul 21, 2013
- 18,161
- 33,028
- Thread starter
- #641
Nikiwa na akili timamu siwezi kuamini propaganda nyepesi kama hiyo ya USA...... isipokuwa niliweka kama kachumbari kwenye mjadalaNa ukaamini USA atakaa kando?
Nikiwa na akili timamu siwezi kuamini propaganda nyepesi kama hiyo ya USA...... isipokuwa niliweka kama kachumbari kwenye mjadalaNa ukaamini USA atakaa kando?
MbusiiWee umbwaaa hao mbusii wako salama sisini?
Nyau weweee
Hivi hata kama ni wewe utajibu shambulizi la drone 3 za kupigia picha harusini?Ni karibia masaa 24 tangu kuripotiwa kwa milipuko kadhaa huko nchini Iran eneo la Ishfaan........
Milipuko inayodhaniwa kuwa ni majibu ya Israel kwa Iran kwa kilichotokea masiku kadhaa nyuma.........
Iran iliyoahidi kuwa baada ya shambulio lake la mvua ya drones na missiles kuelekea Israel.....majibu yoyote ya Israel yatajibiwa kwa mapigo makubwa ambayo yataleta majuto makubwa sio tu kwa Israel bali hata kwa washirika wake..........
Ukimya wa serikali ya Tehran majibu ya Israel unamaanisha nini......??
Je wameingiwa na hofu kinyume na matarajio Yao au hawakutarajia Israel kujibu......???
Tuendelee kutoa muda tujue kitakachotoka jikoni mwa mpishi Tehran........
Naomba unicheki plzTufanye ni kweli amesema anakaa kando, Je, atatulia bila kufanya chochote wakati vita ikizidi kupamba moto?
Umepotea sana mkuu
Tokea lini Iran anazungumza kiarabu,hivi hizi bhangi huwa unavutia wapi!iran hakuna silaha aliyotengeneza yeye sababu hana technolojia hiyo, silaha zote za iran ni za kirusi, anachofanya yeye ni kubadilisha housing na kuweka jina la kiarabu
Mnabishana na vijana wa O level humu ndani....ukishalijua hili basi hutakaa usumbuke...unawaacha na ujinga waoTokea lini Iran anazungumza kiarabu,hivi hizi bhangi huwa unavutia wapi!
tokea uislam ulipoingia persia, sababu uislamu ndio unaoeneza lugha ya kiarabuTokea lini Iran anazungumza kiarabu,hivi hizi bhangi huwa unavutia wapi!
Jifunze kusoma nasio kuongozwa na mihemko yenye mahaba ndani yake Iran hazungumzi kiarabu.tokea uislam ulipoingia persia, sababu uislamu ndio unaoeneza lugha ya kiarabu