Israel yaifungia Aljazeera, yachukua vifaa vyao vya kazi

akifanya Urusi mnasifia

1. Ulituona wapi tukisifia? Haya si ndiyo Yale ya Shivji?

Shivji: Chimbuko la wasiokuwa na Hoja au uthubutu wa Kuhoji, linalo ligharimu Taifa (Part 1)

2. Hoja hushindanishwa kwa hoja siyo ushabiki!

Lavrov wa Urusi awavunja mbavu wajumbe G20 India

3. Kwamba kwa vile umekurupushwa kutokea chooni, haina maana hata bila kujua nini kipo mezani wewe tayari ni mjuzi na una mahitimisho ya kila jambo.

4. Tushindane kwa hoja si ushabiki!

5. Mashabiki wenzio kina Economist, Allen Kilewella , denoo JG, JokaKuu, MK254 na wa namna hiyo kutana nao kwenye majukwaa ya Simba na Yanga na udini huko!

6. Huku tutakuona kama oil chafu tu, masalia tokea awamu ya Tano.

7. Bure kabisa!
 
Magaidi yana ukosefu wa akili

1. Ukosefunwa akili unaangukia humu:

Shivji: Chimbuko la wasiokuwa na Hoja au uthubutu wa Kuhoji, linalo ligharimu Taifa (Part 1)

2. Umejiridhisha kuwa ulikuwa unaongelea Al Jazeera kufungiwa kama magazeti ya Tanzania Daima au mawio ya pande za kwetu na Nape?

3. Kwamba si hoja ila ushabiki tu? Si mjielekeze kwenye medani za Simba huko mkakutane na mashabiki wenzenu?

4. To be fair with you, umeandika, "upumbafu!'

5. Hapo #4, pole lakini. Next time man up!
 
1. Kwa hiyo haya maji yalimwagwa Buza?

2. Tukio likarushwa na TBC ndiyo maana kuifungia Al Jazeera kwa kukataa kulirusha? Ama?!

3. Shivji: Chimbuko la wasiokuwa na Hoja au uthubutu wa Kuhoji, linalo ligharimu Taifa (Part 1)

4. Kwamba huna hoja katika mukthadha wa mada hivyo hapo uko standby kishabiki shabiki ila hoja huna?

5. Hapo #4, kwako kumbe ni kwenye lingo za wafia dini na za simba na Yanga huko?!

6. Hapo #5, huko mbona hutakuwa peke yako? Utakuwa na mama watoto na watoto na wengi tu: MK254, denoo JG kama Kibugoma na Mwanakilatu.

7. Hapo #6,

"Kwa hakika mtanawiri, mtanawiri yoyo yo ... " 🎶🎵🎼 -- Zahir Ally (Zorro)
 
Screenshot_20240414-195546~2.png
 
1. Ulituona wapi tukisifia? Haya si ndiyo Yale ya Shivji?

Shivji: Chimbuko la wasiokuwa na Hoja au uthubutu wa Kuhoji, linalo ligharimu Taifa (Part 1)

2. Hoja hushindanishwa kwa hoja siyo ushabiki!

Lavrov wa Urusi awavunja mbavu wajumbe G20 India

3. Kwamba kwa vile umekurupushwa kutokea chooni, haina maana hata bila kujua nini kipo mezani wewe tayari ni mjuzi na una mahitimisho ya kila jambo.

4. Tushindane kwa hoja si ushabiki!

5. Mashabiki wenzio kina Economist, Allen Kilewella , denoo JG, JokaKuu, MK254 na wa namna hiyo kutana nao kwenye majukwaa ya Simba na Yanga na udini huko!

6. Huku tutakuona kama oil chafu tu, masalia tokea awamu ya Tano.

7. Bure kabisa!
Du Hadija Kopa una Mipasho.
Screenshot_20240413-203638~2.png
 
Back
Top Bottom